CHADEMA kuweni makini na Nyalandu, soon ataunga juhudi

Chakaza,
Nyalandu ameokoka. All he wants is justice!
Ushauri Wa hovyo sana huu
Kuna watu wanajaribu kutubadilisha mawazo lakini Ngo hawatatuweza.
Nataka kusema sasa ni zamu ya kanda ya kati na wao wapate matunda na waingie serikalini
Na watu sahihi wa kanda ya kati ktk kugombea ni kina Mwingulu,Mkumbo,Lissu na Nyalandu.....sasa endeleeni wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Bavicha tatizo lenu hata ushauri huwa hamtaki kusikiliza.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ni nyumbu tu atakayebaki chadema
Mataga
IMG-20210430-WA0126.jpg
 
Habari za Jumapili wakuu,

Katika hali isiyoshangaza kabisa ya mwana kurejea nyumbani (CCM) ikiwa inaendelea kwa sababu tu za kuunga juhudi za Mheshimiwa Rais Magufuli, napenda kutoa rai na kukiasa CHADEMA kwamba huu ndio muda sahihi kwao kuchukua hatua stahiki dhidi ya wana CCM waliobaki ndani ya chama.

Lazaro Nyalandu kwa sasa ndiye amebaki katika safu ya juu ya CHADEMA anayetokea CCM, ni vema wanaCHADEMA mkawa makini na mtu huyu kwani muda si mrefu ataunga juhudi za Rais kwa kigezo tu anarudi kwa chama chao cha nyumbani.

Ni muda sahihi sasa kubaki na wanaCHADEMA asilia, hawa wachumia tumbo wanaohama vyama kila kukicha baada ya kukosa wanachokitafuta kuwaondoa chamani mapema.

CHADEMA mnatakiwa kumvua Nyalandu uanachama, huyu hawafai na ndani ya mwaka huu msipochukua hatua atawakimbia mchana kweupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naam!
 
Back
Top Bottom