Katika jitihada za kuhakikisha CHADEMA hawachukui jimbo la Morogoro mjini, Chama Cha Mapinduzi kimeweka mapandikizi wafuatao kama informer wao ndani ya CHADEMA Morogoro Manispaa.
Informer namba moja anayetumiwa sana na CCM ni Advocate Tarimo. Advocate Tarimo alikuwa ni mwanachama wa TLP na amewahi kugombea udiwani kwa tiketi ya TLP katika kata ya kichangani lakini hivi karibuni ameingia CHADEMA na kupewa nafasi ya kushiriki vikao vya chama kama mjumbe mwalikwa katika kamati tendaji ya CHADEMA wilaya ya morogoro mjini
Kujiingiza kwa Advocate Tarimo ni mkakati wa CCM kwakuwa habari za kuaminika ni kwamba advocate tarimo. Amekuwa akiwasiliana mara kwa mara na Katibu Mwenezi wa CCM kwa kutumia namba 0715972*** na kwamba mipango na mikakati yote ya CHADEMA kwa jimbo la Morogoro mjini huandaliwa na Advocate Tarimo ambaye anakingiwa kifua na uongozi wa CHADEMA wilaya.
Kimsingi, uelewa wa mambo kwa viongozi wa CHADEMA Moro mjini ni mdogo ukilinganisha na kasi ya CHADEMA kisiasa kwa sasa lakini viongozi hao kwa kutokujua wamekuwa wakiwashirikisha watu wasiowajua kwa sababu zao binafsi.
Habari kutoka kwa mmoja wa afisa usalama wa taifa ambaye ni mzalendo zinadokeza kuwa, Kwa sasa Advocate Tarimo analipwa fedha kwa ajili ya kazi hiyo ya CCM kiasi cha kumfanya muda wote awe bize na shughuli za CHADEMA, anahudhuria na kuandaa ripoti na nyaraka zote za chama ambapo nakala zake na taarifa huziwasilisha kwa CCM.