CHADEMA kuweni makini katika maandiko yenu mitandaoni

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
Angalia walivyoandika jina la marehemu Philemon Ndesamburo! Angalia walivyoandika Kilimanjaro! Na angalia pia walivyoandika CHADEMA KANDA YA KASKAZINI.

Muasisi wenu mnamuandika kihuni hivi?

Kuweni makini kwenye writings. Viongozi wenu wawe makini.Mnatupa wasiwasi sana.

Msiwape wahuni ridhaa ya kutoa press kwenye public kama hawajiwezi.

Chaaaa!

FB_IMG_1496286177030.jpg
 
Mhhh na hili nalo ni la kuanzishiwa thread???
Anyway wahusika watakuwa wameupata ujumbe wako
 
Kwahyo umesoma hukuelewa kilichomaanishwa au ndio umeona uje utushirikishe hii pumba ya kipropesa?
 
Hapo nyumbuz kamwe hawawezi kukuelewa
RIP Ndesamburo
Ulikuwa mbunge halisi wa upinzani unayefanya kwa vitendo tofauti kabisa na hawa wasanii waliopo leo, anayekufuatia kwa mbaaali ni joshua nasari!
Hakika sikukosea kukupa kura zangu miaka hiyo.
 
Bora hiyo kuliko ile ya "fenti fodi"

Ni wazi hiyo ni typing error tu na hapo imesahaulika herefu "h" ila mnataka tu kukuza hilo jambo kwasababu mmekosa hoja za kukosoa upinzani sasa mmebaki kuokoteza tu.
 
Mumeona hamtapata nafasi ya kupiga rambi rambi ndiyo mnakuja kitoto namna hii, pumbavu kabisa.
 
Du hebu soma ile press ya bunge kuhusu speaker kutoa pole kisha ufanye official press vs twit
 
Wameandika kihuni kama CCM walivyotunga sheria za madini kihuni na kisha kuja kusaini mikataba yake kihuni na leo kuja kulialia kwetu (watanzania) kwamba wawekezaji kwenye sekta hiyo ya madini wanatuibia.
 
Back
Top Bottom