Chadema kuwasha moto Tabora

Saigon,

Mie ni mkweli haswaa na ubabaishaji nauchukia na kuuogopa kama ukoma.

Siasa ni mchezo mchafu ambao uongo ni SEHEMU ya mchezo huo.

Hayo mie siyawezi maana hakuna chama kitanipenda kwa hilo........

Labda kuna siku NITAKUWA na kufikia UMRI wa kuwa Mwanasiasa ila siyo leo.

Wanasema Wanasiasa ni kama Malaya. Unachagua yule hawajakanyaga saana. (Akina dada msiniuwe, sikutaka kutukana Jinsia).

Mbona unajadiri siasa mheshimiwa tena kwa makini? Sema tu kinachokukera kutoka kwa wachangiaji hiyo ndiyo JF.
 
pls we need confirm maana kuna taarifa ya kuahirishwa mikutano yote, tunajua safari ya dr slaa ni ya masafa ya wiki hivi je ipo kuanzia kesho na vipi maandalizi huko, hamna mashaka ya maandalizi jamani roho inadunda maana wasukuma na wanyamwezi wa tabora wanatuanfusha sana, pls confirm kama kweli upo
 
Mashambulizi mbele kwa mbele mpaka kieleweke karibuni Tabora kwetu mtufikie mpaka huku kijijini kwetu Sikonge...!!! Ngoja nianze kutoa taarifa kwa wanakijiji tupate wafuasi wote
 
Tatizo humu ndani kuna watu ambao wapo kwa ajiri ya kubisha bisha tu, Anachoongea mtoa mada ni kweli na mimi leo nimeingia Tabora na magari ya matangazo yanatangaza hivyo mitaani, nipo kwa ajiri ya kuangalia hali ya chama changu CCM na kuangalia nini kifanyike ili tuzidi kujiimarisha....ni safari binasfi si official msije mkani-miss understand.
Kwa hiyo kuhusu mkutano ni ukweli utakuwepo
kwanini bado unaipenda ccm?
 
Na moto wa mabadiliko ya kweli, vita dhidi ya CCM-Ufisadi na ukombozi wa wanyonge nchini uendelee kila pembe koooote nchini.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom