CHADEMA Kutoka Nje: CCM Imeumia sana

Ndugai mwache aendelee kuwapalilia wake zao kutoka nchi jirani ya Zanzibar yenye mipaka yake iliyozungukwa na visiwa na maji ya bahari lakini ninauhakika hakuna asiyejua ukweli CCM A kwa kusaidiwa na CCM B watachezeshwa ngoma na muziki wake utakuwa mtamu sana
 
Hivi nyie wote wana JF mna mtindio wa akili? CDM ni wabinafsi na wachoyo na waroho wa madaraka. Hivi ingelikuwa wamepata ridhaa ya watanzania ya kutawala nchi. Hawa CDM inaonesha kama wangelipiga marufuku vyama vingi ili wabaki wao peke yao na uchoyo wao wa madaraka. Hawafai.
Are you a great thinker!?....
 
Hivi nyie wote wana JF mna mtindio wa akili?
Huna lolote, umebadilisha jina kututukana. Kwanza post ulizotuma ni 9. Kama unaona hatuna akili ni bora uende kwa Michuzi. hapa tunasema ukweli na kutoa DATA. Hapa kuna kila chama na wasio na vyama. Ukiona mtu anaanza matusi ujue kaishiwa.
 
Hivi nyie wote wana JF mna mtindio wa akili? CDM ni wabinafsi na wachoyo na waroho wa madaraka. Hivi ingelikuwa wamepata ridhaa ya watanzania ya kutawala nchi. Hawa CDM inaonesha kama wangelipiga marufuku vyama vingi ili wabaki wao peke yao na uchoyo wao wa madaraka. Hawafai.

Upo sahihi kabisa. Ila ubongo wako una kasoro hasa katika kuelewa mambo na watu wakuelewe hivyo. hoja zako ziko sahihi kwa mujibu wa ubongo wako. Kwa watu wenye kuelewa mambo kwa uelewa ulio juu kidogo ya ulipo wewe hayo unayosema hayana nafasi kabisa
 
hivi nyie wote wana jf mna mtindio wa akili? Cdm ni wabinafsi na wachoyo na waroho wa madaraka. Hivi ingelikuwa wamepata ridhaa ya watanzania ya kutawala nchi. Hawa cdm inaonesha kama wangelipiga marufuku vyama vingi ili wabaki wao peke yao na uchoyo wao wa madaraka. Hawafai.

unapaswa kupima hoja.wewe ni ccm lakni huna uwezo wa kuchambua mambo.hiyo njama ya kubadili kifungu hicho ilijulikana toka kitambo ili kuwathibiti cdm.ccm ndio ya kwanza kw a ubinafsi.mbona haijamchagua waziri toka upinzani?huo si uroho?
 
Hivi nyie wote wana JF mna mtindio wa akili? CDM ni wabinafsi na wachoyo na waroho wa madaraka. Hivi ingelikuwa wamepata ridhaa ya watanzania ya kutawala nchi. Hawa CDM inaonesha kama wangelipiga marufuku vyama vingi ili wabaki wao peke yao na uchoyo wao wa madaraka. Hawafai.

Luna
 
Nguvu ya umma inatisha jamani waache waweweseke. Lakini wanasema eti wananchi wamekasirishwa na Chadema kutoka nje. Ni wananchi asilimia ngapi? Wa umri gani? Jinsi gani? Wa chama gani? Walifanya huo utafiti lini?
 
Back
Top Bottom