Wakati Taifa likiwa katika sintofahamu kubwa ya mgomo wa madereva nchini kote, CHADEMA inakutana na wanahabari saa 7 mchana makao makuu ya chama kutoa maazimio ya kikao cha kamati kuu kilichokutana kwa siku mbili.
Taifa pia linatarajia kupata msimamo rasmi wa CHADEMA juu ya mateso wanayopata wananchi baada ya mgomo wa madereva ulioingia siku ya pili.
Na hii ni baada ya viongozi wa serikali ya CCM kupuuza kilio na mateso makubwa ya wananchi wanayopata kwa sasa baada ya kukataa kuonana na madereva wanaogoma huku Waziri wa Uchukuzi Samwel Sitta akishindwa kabisa kutatua mgogoro huu kutokana na kuendekeza ubabe