Hivi ni nani alokudanganya kuwa mgomo umemalizwa na mbowe? Mgomo umemalizwa na makonda, Hebu tuulizen tulokuwepo ubungo, mbowe hata hakufanikiwa kuhutubiaNi ulimbuken Mkubwa kushabikia matatizo yanayoweza kutatulika kisa suluhisho limetoka kwa mpinzan ndo maana hatuendelei
Wakati Taifa likiwa katika sintofahamu kubwa ya mgomo wa madereva nchini kote, CHADEMA inakutana na wanahabari saa 7 mchana makao makuu ya chama kutoa maazimio ya kikao cha kamati kuu kilichokutana kwa siku mbili.
Taifa pia linatarajia kupata msimamo rasmi wa CHADEMA juu ya mateso wanayopata wananchi baada ya mgomo wa madereva ulioingia siku ya pili.
Na hii ni baada ya viongozi wa serikali ya CCM kupuuza kilio na mateso makubwa ya wananchi wanayopata kwa sasa baada ya kukataa kuonana na madereva wanaogoma huku Waziri wa Uchukuzi Samwel Sitta akishindwa kabisa kutatua mgogoro huu kutokana na kuendekeza ubabe
kwani hawajaja kwenye press assembly?Ni muda mrefu tangu kikao cha kamati kumalizika. Watanzania tukiwa na subira na uvumilivu wa hali ya juu sasa ni masaa takribani mawili hatuja pata yaliyojili katika kikao chetu. Hii siyo haki kwetu watanzania. Tunaomba mfanye hima kutuhabarisha nini kimejadiliwa na maazimio yepi ya kikao yamefikiwa. Kwa ujumbe huu naomba haraka sana mtupe mrejesho ili watanzania tuwe na furaha kwani kutunyima habari hii kwa masaa mawili siyo haki wara siyo uzalendo.
Mods iache hapa wasome na wafanye haraka.
Sawa Tunasubiri makamanda...wale wenye macho ya husda kwa Chadema mtakoma na magazeti yenu uchwara ya Mtanzania, Jambo leo na Uhuru...eti JJ Mnyika na Tundu Lisu walikutana na viongozi wa madereva kupanga mgomo...yan ni ujinga tu wa fikra na kujipendekeza....Tayari nimeyaorodhesha magazeti haya katika blacklist yangu kuwa ni maadui wa haki na demokrasia...hivyo nimeyawekea vikwazo nisiyaone nyumbani kwangu toka sasa...hata mgeni akija kwangu akiwa nayo atalazimika kuyaacha huko nje ndo aingie ndani...
Supreme Leader Ayato-llah zitto na wala sio ZITOAsante kwa taarifa, tunasubiria hayo maazimio maZITO!.
Pasco
Kijambo cha mtu kama Pasco hakivurugi mkutano.Watu wanaweza ziba pua na kutema mate ila mkutano utaendelea.Asante kwa taarifa, tunasubiria hayo maazimio maZITO!.
Pasco
Kijambo cha mtu kama Pasco hakivurugi mkutano.Watu wanaweza ziba pua na kutema mate ila mkutano utaendelea.
Hakuna kizito kinachoweza kutoka chadema,,nchi inaongozwa na CCM,,huku ndo kuna mazito...!
Matamko,migomo na maandamano ndio njia pekee ya kuopeleka CDM ikulu.
Ni ulimbuken Mkubwa kushabikia matatizo yanayoweza kutatulika kisa suluhisho limetoka kwa mpinzan ndo maana hatuendelei