Kiongozi mkuu wa upinzani nchini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Morogoro na vitongoji vyake, katika mkutano wa hadhara wa operesheni sangara, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Morogoro waliojitokeza katika mkutano huo.
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed akifafanua jambo kwa wananchi hao.
Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Igunda kupitia CHADEMA, Joseph Kashinde akizungumza na wananchi waliohudhuria katika mkutano huo
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Morogoro na Mbunge wa viti Maalum CHADEMA Suzan Kiwanga akimwaga sera za chama hicho.
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi CHADEMA na Mbunge wa jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam John Mnyika akipanda jukwaani wakati akiwasili katika uwanja huo
Kuna ngurumo za peoples power kesho tarehe 25, Morogoro has maeneo ya Pembezoni kama Chamwino, Kihonda, Kauzeni, Milimani na kadhalika. Pia Tarehe 27 kutakuwa na mkutano mkubwa sana ambao haujawahi kutokea hapo K ndege kwa ajili ya wakazi wa morogoro mjini.
Wakazi wa Moro mjini kaeni mkao wa kula raha ya M4C kwa mara ya kwanza.
Nawatakia amani na upendo. Hakutakuwa na vurugu.
Mwenye ratiba kamili atuwekee hapa.
Angalia mambo yanavyoendelea vijijini, nafikiri njini itatisha.
Sasa ninaelewa ni kwa nini CCM inahaha kuhonga watu na kuwabeba kuwapeleka kwenye mikutano. How can you fight this?Kuna ngurumo za peoples power kesho tarehe 25, Morogoro has maeneo ya Pembezoni kama Chamwino, Kihonda, Kauzeni, Milimani na kadhalika. Pia Tarehe 27 kutakuwa na mkutano mkubwa sana ambao haujawahi kutokea hapo K ndege kwa ajili ya wakazi wa morogoro mjini.
Wakazi wa Moro mjini kaeni mkao wa kula raha ya M4C kwa mara ya kwanza.
Nawatakia amani na upendo. Hakutakuwa na vurugu.
Mwenye ratiba kamili atuwekee hapa.
Angalia mambo yanavyoendelea vijijini, nafikiri njini itatisha.
Duhh hii sijawahi kuona. Heri watuletee matumaini. Tumekata tamaa kabisa.
mleta mada hiyo picha uliyo weka ni moshi? maana nape husema hiki chama cha wachaga
Waache waendelee kusema moshi, lakini kufichaficha ugonjwa kifo kitawafichua. Huu ugonjwa wa gamba utawamaliza. Muulize Nape siku tisini hazijatimia? Na wale mapacha watatu vipi?mleta mada hiyo picha uliyo weka ni moshi? maana nape husema hiki chama cha wachaga