CHADEMA kususia chaguzi ndogo ni kuwanyima haki wananchi na wanachama hai wa CHADEMA

Chadema ni watu wachache wenye nguvu ndani yao,ikitokea kuwa Mbowe anatakiwa kugombea pale Hai,atagombea tuu.
Waambie watu wa Mshikamano waache kuisujudia cdm sababu chadema haina maslahi yeyote musoma zaidi ya wanamusoma kujipendekeza.
Wewe ndio uwache kujipendekeza.
 
wasaalam ,jana kulikua kuna zoezi la chaguzi ndogo za madiwani katika kata mbalimbali zenye uhitaji huo wa kikatiba kwa wakati huu. Lakini Chadema kususia chaguzi hizi madhara yake yamekua yakionekana waziwazi kwan ,kampeni hazivutii hata kidogo tena na hata idadi ya watu wanaojitokeza kupiga kura ni ndogo sana.
Case study ni katika manispaa ya Musoma ndani ya kata ya Mshikamano ambapo pia jana kulikua na zoezi lq uchaguzi mdogo wa diwani . Lakini kilichotokea ni kwamba idadi ya wapiga kura ilikua ndogo sana yan sana ,hadi ITV wakaipa coverage hii habari kwa kichwa cha MWITIKIO MDOGO WA WAPIGA KURA KATA YA MSHIKAMANO MUSOMA MJINI,

Ikumbukwe kuwa Kata ya mshikamano ni ngome kuu ya Chadema ndan ya mkoa wa Mara na ndio maana hata ofisi za chadema mkoa wa Mara zipo kata hiyohiyo .hivyo chadema wana wafuasi wengi sana katika eneo hili.

Maoni yangu ni kuwa imefikia wakati muafaka sasa Chadema kukubali kushiriki hizi chaguzi bila hayo mahitaji wanayodai kwani kama ipo ipo tu.mbona mara kibao CHADEMA IMESHINDA VITI KIBAO NA TUME HIYO HIYO.

WANANCHI WA MSHIKAMANO NA KATA ZINGINEZO TANZANIA ZINAZOFANYA CHAGUZI HIZI NDOGO WANALIA KWA KUKOSA VIONGOZI MAKINI KUTOKA CHADEMA ......VIVA CHADEMA VIVA TANGANYIKA

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kwanza kabisa, upewe maua yako kwa mtazamo huu na kuujengea hoja.

Pili, ni lazima... CHADEMA au niseme, kuna umuhimu mkubwa wa Uongozi wa CHADEMA kujibu hoja yako Ni kwanini wana wanyima haki wanachadema wenzao(kamavile kata ya mshikamano Musoma)-na itakuwa mbaya zaidi pale watakapo kubali Nusu mkate-bila ya kujibu haya, mbaya zaidi, hiyo itaonyesha kuwa Uongozi unawatumia tu wananchi wanaotaka mabadiliko ya kweli na sio mabadiliko ya Uongozi tu, Yaani madaraka tu kwa wakina Mbowe et al.
 
..
Mbona Etwege na SYLLOGIST! Wanasema CHADEMA walishiriki na wakashindwa?!
Nilichokisema ni kuwa CHADEMA wameshiriki kufukuza kaburi badala ya kuhamasisha wapiga kura wake. Mathlani lengo la vyama vya upinzani wa Siasa lao ni moja, kuiondoa CCM madarakani?, kulikuwa na kitu gani wangepungukiwa "kuwapa ushirikiano" ACT, TADEA,CUF, na wengineo?

Itoshe nimesema wao ni Susa susa FC

...hayo ya kushiriki umeyatoa wapi sijui. Haya lakini.

CHADEMA wamjibu mleta mada. Kwanini wanawanyima haki au kuwakosesha fursa wanachadema wenzao? Inelekea uongozi wa juu, wao hawajali kwasababu wanaenda kupewa nusu mkate?(Inasadikika)
 
wasaalam ,jana kulikua kuna zoezi la chaguzi ndogo za madiwani katika kata mbalimbali zenye uhitaji huo wa kikatiba kwa wakati huu. Lakini Chadema kususia chaguzi hizi madhara yake yamekua yakionekana waziwazi kwan ,kampeni hazivutii hata kidogo tena na hata idadi ya watu wanaojitokeza kupiga kura ni ndogo sana.
Case study ni katika manispaa ya Musoma ndani ya kata ya Mshikamano ambapo pia jana kulikua na zoezi lq uchaguzi mdogo wa diwani . Lakini kilichotokea ni kwamba idadi ya wapiga kura ilikua ndogo sana yan sana ,hadi ITV wakaipa coverage hii habari kwa kichwa cha MWITIKIO MDOGO WA WAPIGA KURA KATA YA MSHIKAMANO MUSOMA MJINI,

Ikumbukwe kuwa Kata ya mshikamano ni ngome kuu ya Chadema ndan ya mkoa wa Mara na ndio maana hata ofisi za chadema mkoa wa Mara zipo kata hiyohiyo .hivyo chadema wana wafuasi wengi sana katika eneo hili.

Maoni yangu ni kuwa imefikia wakati muafaka sasa Chadema kukubali kushiriki hizi chaguzi bila hayo mahitaji wanayodai kwani kama ipo ipo tu.mbona mara kibao CHADEMA IMESHINDA VITI KIBAO NA TUME HIYO HIYO.

WANANCHI WA MSHIKAMANO NA KATA ZINGINEZO TANZANIA ZINAZOFANYA CHAGUZI HIZI NDOGO WANALIA KWA KUKOSA VIONGOZI MAKINI KUTOKA CHADEMA ......VIVA CHADEMA VIVA TANGANYIKA

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
wanafahamu hawata fua dafu nbele ya chama tawala na wataambulia patupu kwa fedheha, hawatakua na sababu ya maana ya kulalamika na hakuna pa kujificha...
 
..

Nilichokisema ni kuwa CHADEMA wameshiriki kufukuza kaburi badala ya kuhamasisha wapiga kura wake. Mathlani lengo la vyama vya upinzani wa Siasa lao ni moja, kuiondoa CCM madarakani?, kulikuwa na kitu gani wangepungukiwa "kuwapa ushirikiano" ACT, TADEA,CUF, na wengineo?

Itoshe nimesema wao ni Susa susa FC

...hayo ya kushiriki umeyatoa wapi sijui. Haya lakini.

CHADEMA wamjibu mleta mada. Kwanini wanawanyima haki au kuwakosesha fursa wanachadema wenzao? Inelekea uongozi wa juu, wao hawajali kwasababu wanaenda kupewa nusu mkate?(Inasadikika)
exactly
 
Back
Top Bottom