Ukubwa wa Chadema wadhihirika , Wakijitoa kwenye uchaguzi wananchi wanatii na kupuuza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,778
218,404
Unaambiwa Nchini Tanzania leo kunafanyika uchaguzi kwenye Kata zaidi ya 10 , chaguzi hizi zinafanyika ili kuziba nafasi za madiwani zilizokuwa wazi kwa sababu mbalimbali zikiwemo za vifo .

Lakini baada ya Chadema kujiondoa kwenye chaguzi hizi zinazosimamiwa na makada wa ccm , Wananchi wote kwa umoja wao wamepuuza kabisa chaguzi hizi na wala hawataki hata kuzisikia .

Jambo hili limedhihirisha nguvu ya Chadema kwenye siasa za Tanzania.

Mungu Ibariki Chadema

FB_IMG_1619042485662.jpg
 
View attachment 2686671
kwasasa chadema ni ndogo kuliko mwabukusi. bakini na chama chenu.
 
Chaguzi zinazofanyika Tanzania ni za ajabu kweli .Uchaguzi wa madiwani unafanyika na wasimamizi wa uchaguzi huo ni watendaji wa kata ambao wanafanya kazi kwa niaba ya mkurugenzi ambaye ni mteule wa mwenyekiti wa chama cha mapinduzi.Kuna uchaguzi hapo au kuna maigizo!
 
Kama misisiyemu itaona ni dhambi kubwa kurekebisha sheria za uchaguzi ili kuwe na tume huru napendekeza Chadema ikifika uchaguzi wa mwaka 2025 waache CCM maigizo hayo wafanye na kina Rungwe mzee wa ubwabwa na tuvyama twingine
 
Chaguzi zinazofanyika Tanzania ni za ajabu kweli .Uchaguzi wa madiwani unafanyika na wasimamizi wa uchaguzi huo ni watendaji wa kata ambao wanafanya kazi kwa niaba ya mkurugenzi ambaye ni mteule wa mwenyekiti wa chama cha mapinduzi.Kuna uchaguzi hapo au kuna maigizo!
Katiba mpya ni lazima
 
Back
Top Bottom