Mzalendo wa ukweli
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 559
- 149
Zipo taarifa kuwa chadema chini ya kamanda mbowe itavunja baraza kiviri na kushirikisha vyama vingine vya upinzani huku nafasi ya naibu mkuu wa upinzani ikienda cuf na mnadhimu atatoka nccr chanzo ni tetesi toka vyama vitakavyo shirikishwa taarifa toka ktk matawi.
Mtoa habari mwemanga heading yako ni kama inauliza swali then huku ndani unatupa kama maelezo lakini yamekaa kitetesi zaidi. You need to confirm this information ndo utuletee hapa jamvini. Otherwise sidhani kama hilo linawezekana.