CHADEMA kushindwa vibaya serikali za mitaa

CHADEMA kushindwa vibaya serikali za mitaa

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,852
Wakati katibu mkuu wa chama cha mafisadi (CCM) akifanya ziara na kuleta uhai wa chama ili kishiriki katika chaguzi za serikali za mitaa hapo mwishoni mwa mwaka CHADEMA chenyewe kimesinzia kama si kulala usingizi wa pono, haiwezekani chama kinafanya mikutano yao Dar es salaam na Arusha ambako kimsingi watu wameshazinduka, ni kwanini juhudi hizo zisielekezwe vijijini ambako ndo kuna wapiga kura wengi, sasa hivi chama kimekalia serikali tatu ambazo kimsingi haziwezi kusaidia kubadilisha matokeo serikali za mitaa, Madhara ya Kinana mtayaona hapo October kwenye uchaguzi serikali za mitaa endeleeni kulala.
 
hata me inatia mashaka chama hakionyeshi jitihada za kusonga mbele, wahusika mje mjibu maswali hapa yanawahusu,,mna mpango gn?
 
Chadema wanaendelea na shughuli za chama tanzania nzima kama ni book 7kachukueni ccm wanashinda kwa kuuwa watu
 
Mwendelezo wa chopa 3 kata 3....na salam za kalenga na chalinze ziwafikie kabsaa!!
 
Wakati katibu mkuu wa chama cha mafisadi (ccm) akifanya ziara na kuleta uhai wa chama ili kishiriki katika chaguzi za serikali za mitaa hapo mwishoni mwa mwaka CDM chenyewe kimesinzia kama si kulala usingizi wa pono haiwezekani chama kinafanya mikutano yao Dar es salaam na Arusha ambako kimsingi watu wameshazinduka, ni kwanini juhudi hizo zisielekezwe vijijini ambako ndo kuna wapiga kura wengi, sasa hivi chama kimekalia serikali tatu ambazo kimsingi haziwezi kusaidia kubadilisha matokeo serikali za mitaa, Madhara ya Kinana mtayaona hapo october kwenye uchaguzi serikali za mitaa endeleeni kulala.

Chama kina mfumo wa kanda ..kazi inaendelea.Usiwe nyuma ya wakati kiasi hiki.Leo Temeke kulikua na mkutano,Geita kulikua na Mkutano,Nyololo pia mikutano na huko Tanga kulikua na uchaguzi Leo.
 
Chama kina mfumo wa kanda ..kazi inaendelea.Usiwe nyuma ya wakati kiasi hiki.Leo Temeke kulikua na mkutano,Geita kulikua na Mkutano,Nyololo pia mikutano na huko Tanga kulikua na uchaguzi Leo.

hiyo mikutano na chaguzi ni ya ndani au hadhara? mbona kwenye media hatusikii na kuona kama cdm wanafanya hayo yote, au ndo wamebadili strategy?

SP
 
Kuandikisha daftari..cdm ikienda na hili daftari lenye viraka itapigwa mpaka ishangae
 
Chama kina mfumo wa kanda ..kazi inaendelea.Usiwe nyuma ya wakati kiasi hiki.Leo Temeke kulikua na mkutano,Geita kulikua na Mkutano,Nyololo pia mikutano na huko Tanga kulikua na uchaguzi Leo.

Bro! Temeke kiongizi gani alikuwepo na ajenda ya mkutano ilikuwa nn? maazimio n yapi?
Geita je? Hoja n nn? Na kule Nyololo mmezungumzia nin? Na mnafanya mikutano kama UKAWA au kila mtu kivyake? Mkurugenzi tafadhali njoo na majibu.
 
hiyo mikutano na chaguzi ni ya ndani au hadhara? mbona kwenye media hatusikii na kuona kama cdm wanafanya hayo yote, au ndo wamebadili strategy?

SP

ndg naomba nikupe taarifa kuwa suala la kurusha mikutano ya cdm kwny media kumekuwashida sana hasa wakati huu ambapo tuna jonarnalist makajanja. a kimsingi kaziya kujenga chama inaendelea km unavyojua cdm imejikita sana kwenye misingi. hofu ya nini? BIG RESULT NOW NDO ITAONESHWA NA CHADEMA
 
Chama kina mfumo wa kanda ..kazi inaendelea.Usiwe nyuma ya wakati kiasi hiki.Leo Temeke kulikua na mkutano,Geita kulikua na Mkutano,Nyololo pia mikutano na huko Tanga kulikua na uchaguzi Leo.

Taarifa nilizonazo, cdm ilikuwa na mikutano vijiji vya Mabila, jimbo la kyerwa na wanachama wengi wa ccm wamerudisha kadi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwani hili ni jambo la kuuliza kweli? Hivi wee una akili kweli? Subirini October ndio mtajua mbivu na mbichi!

Yaani kweli mnajisifu kwa kufanya mikutano mikubwa Temeke, Geita na Nyololo? Nchi hii kubwa sana yenye watu million 45 ati mikutano mitatu? Hivi CCM kwa siku ya Jana wamefanya mikutano mingani nchi nzima? Jibu ni zaidi ya 10000 ati wee unasema mikutano 3?

Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake"
 
Kwa sasa hakuna chadema kabisa tanzania pengine ipo ukawa ambacho nacho ni chama halamu hakitambulikani kisheria.
 
Tatizo mnapenda sana kujifariji nyie chagadema kwa mambo ya kijinga sasa mikutano mitatu inafaida gani kwa taifa hili kubwa? Nyie endeleeni na UKAWA hadi 2015 mtakuja kupata kipigo cha paka mwizi hamtakuja kuamini!

Na muendelee kulogwa hivi hivi musizinduke hadi October ndio mutapata fundisho lililo la wazi kabisa halafu mtajua kitakachowakuta 2015.

Tunawatakieni usingizi mzito wenye ndoto lukuki muje muamke Mwezi December!
 
Chama kina mfumo wa kanda ..kazi inaendelea.Usiwe nyuma ya wakati kiasi hiki.Leo Temeke kulikua na mkutano,Geita kulikua na Mkutano,Nyololo pia mikutano na huko Tanga kulikua na uchaguzi Leo.
Huu ubishi wako wa kibavicha siku moja lazima utaujutia twende pamoja mda bado upo japo ni mfupi sana ila utajuta kuzaliwa.
 
Tatizo mnapenda sana kujifariji nyie chagadema kwa mambo ya kijinga sasa mikutano mitatu inafaida gani kwa taifa hili kubwa? Nyie endeleeni na UKAWA hadi 2015 mtakuja kupata kipigo cha paka mwizi hamtakuja kuamini!

Na muendelee kulogwa hivi hivi musizinduke hadi October ndio mutapata fundisho lililo la wazi kabisa halafu mtajua kitakachowakuta 2015.

Tunawatakieni usingizi mzito wenye ndoto lukuki muje muamke Mwezi December!
Ngoja wapotezane halafu mwisho wa siku tuone nani wa kumfunga paka kengele.
 
Back
Top Bottom