CHADEMA & Kushindwa: The Future!

Tatizo la CDM wakiona watu wengi kwenye kampeni basi wanachulia kama wameshinda, wafuasi wengi wa CDM ni wale wasiopiga kura ndio maana wanashindwa chaguzi nyingi harafu wanasingizia wameibiwa. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
WILLIAM U R NOT SERIOUS, JIPENDEKEZE UONAVYO LAKINI CCM SI CHAMA CHA KUONGOZA TZ ANYMORE,VIONGOZI WAMEJAA VISASI ,VITINA ,MAJUNGU.
TURUDI KWA JOHN MALECELA NI KWELI CCM NA TZ HAKUIFANYIA KAZI YOYOTE?HATA MEDALI YA MIAKA HAMSINI KATOKA KAPA HIZO NI SIASA ZA VISASI ZA CCM U KNOW WHY?SABABU ALIGOMBEA URAISI KUPITIA CHAMA CHENU NA JAKAYA ANAMUONA ADUI MPAKA KESHO.KAMA KWELI UMESOMA [POLITICAL SCIENCE]KAMA UNAVYODAI UTAONA NDANI YA CCM HAKUNA HAKI NA UELEWA UMEKWISHA NDANI YAKE,NAKUSHAURI KAMA UNATAKA KUGOMBEA ANYTHING KUPITIA CCM UTAISHIA KUWA KATIBU WA WILAYA WA CCM TU.MAANA SYSTEM YAO HAITAKIWI KUHOJIWA KAMA ULIVYOSEMA KUWA VIJANA WOTE WA NJE YANCHI WANAISAPOTI CHADEMA,WEWE KWAO NI ADUI MPAKA WALE WAZEE WOTE WAFE.VINGINEVYO UWE MNAFIKI KAMA JANUARY MAKAMBA,KAMA UNATAKA SAUTI YAKO ISIKIKE KWA SASA TRY TO JOIN CHADEMA.POLE SANA KWA KUIPENDA CCM.
:help:
 

Unazungumza nini na unafanya nini?

Hutaki kuchangia post za Chama dola? utapata wapi habari!
 
Kujadili na kuchangia thread za @New York ni upuuzi na upotezaji wa mda tu!!
 
Tatizo la CDM wakiona watu wengi kwenye kampeni basi wanachulia kama wameshinda, wafuasi wengi wa CDM ni wale wasiopiga kura ndio maana wanashindwa chaguzi nyingi harafu wanasingizia wameibiwa. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Watu wengi walikuja wenyewe wakati CCM watu wachache walio letwa na malori sasa inapotokea akashinda huyu alienunua watu iliwaje kumsikiliza lazima tujiulize kulikoni.....
 

Wewe kama ni sehemu ya wasomi wetu basi tutegemee maafa tu!
Hata huelewi kwamba dawa ya ndoo iliyotoboka ni kuiziba na kisha ndio ujaze maji?
Huelewi kwamba punda bila bakora haendi?
Acha bana CDM amtie bakora punda ili aende!
Wasaidie CDM kuziba ndoo iliyotoboka ili maji yasimwagike!
 
W. J. Malecela kabla sijapoteza muda wangu mwingi kuchangia hii thread yako inayokidhana na thread yako nyingine ya leo ningeomba unijibu hili:

Ni nini maoni yako kuhusu kauli ya Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani kwamba Mahakama ya Tanzania haiko huru?

Je unaikumbuka kesi ya mgombea binafsi iliyoamuriwa na jopo la majaji 7 likiongozwa na Jaji Mkuu Augustino Ramadhani?
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa simwelewi anataka kusema nin kwenye posts zake nkitaka kumjibu ntapigwa ban ngoja niwavizie magamba 2015 sio mbali.
 

Mkuu ukweli ni kuwa CCM haijawahi kuwa wakweli hata wakati mmoja. And with this corrucpt government anything is possible. CCM wako kwenye tishio kubwa la kupokonywa dola ndiyo maana kwa mbinu ndio wenyewe.

Hata hivyo nadhani ni vyema ukatofautisha maoni ya washabiki wa chama na kauli rasmi ya chama. Pale penye ukiukwaji mkubwa wa taratibu daima chama kimekuwa kinatoa kauli rasmi.

Inawezekana kukaa USA kwa muda mrefu kunaweza kukukosesha kujua mambo mengi, lakini ujue tu kuwa kama si kutumia nguvu ya umma mwaka 2010 CDM kisingeshinda Arusha, Mwanza, Mbeya, Iringa, Ubungo, Kawe na kwinginepo. Huu ni ukwel mtupu, hivyo lazima CDM ilalamike pale inapoona taratibu zinakiukwa. Bila hivyo tutaonewa saaaana. Mpaka ground itakapokuwa level ndipo tutaamini hata mahakama zetu.

 
Mbona wewe ulivyoshindwa na kuangukia pua ulikuja apa kulalamika oooh!! jamani rushwa, uchaguzi kulikuwa na rushwa!!

lakini kwasababu usipotaja CHADEMA uzi wako unakuwa arijojo, ukasema hadi CHADEMA wanacukua rushwa!!

Hiyo sio kulalamika?? kama rushwa ilitembea, maana yake wewe hukutendewa haki kama kweli hukutoa rushwa, na kusema ni haki yako!!!

Acha maneno ya hovyo!!
Sory, nilisahau, kumbe huna ambayo sio ya hovyo!!!

 
Nilishakuambia uombee Mahanga achakache apite na ndivyo alivyofanya. Mwizi wa kuku akikamatwa na huyo kuku ndio inakuwa mwisho wa maisha yake. Sasa Mahanga alikamatwa na mabox ya kura akisepa nayo, halafu mahakama inatupilia mbali hoja kama hii ya wazi kabisa. Hata wewe kama unafikiri kwa kutumia kichwa utasemaje? Tafuta jimbo ugombee uone moto wake.
 

when the dove cry...........
 
Kwa shilingi 2000 za kitanzania unaweza ukapata hukumu na proceeding zote za kesi.
Hebu nenda kaombe ya kesi ya Lema Arusha. Utachanganyikiwa ndugu yangu. Omba na ya juzi ya segerea utachoka!! Tatizo ni mhimili wa mahakama kuingiliwa na DOLA. Miye nadhani ungeleta UZI wa madhara yanayoweza kutokea kama hali hiyo ikiendelea. Ni KWELI bila utawala wa sheria hakuna utawala au NCHI HAITAWALIKI.
Nipo hapa Nairobi wanaapisha upya majaji na wanafuatilia historia za maamuzi waliyofanya na wengine wakubwa kabisa wamefukuzwa!!. Mchakato huu uko Objective kwa sababu dola imewekwa kando na wachambuzi wanatoka sehemu mbalimbali za dunia.
Swali je mchakato ukija kwetu ni Jaji yupi atakapona? Jaji mkuu aliyepita Augustino Ramadhani amekiri waziwazi amewahi kushinikizwa na dola kufanya maamuzi ya kuipendelea DOLA!!
 
Hivi kwa mawazo yako kwa sababu ya hao majaji wenu wanaotoa hukumu kwa kuongowa na watu kwa maslahi yao na sio kufuata sheria zinavyotaka, sisi watanzania tuache kufanya shughuli za maendele tuwe na kesi kila kona ya nchi hii? mi kwa mawazo yangu hiyo hukumu dhurumishi tuachane nayo kwa sababu sisi tuna mungu wao wana vyombo vyote vya dora na fedha 2015 ndiyo watajua nguvu ya umma ilivyo kwani gaddafi si alikuwa na fedha na siraha na jeshi lote leo yuko wapi? kwa jinsi mambo yanavyokwenda katika nchi hii hawa CCM wanatengeneza BOMU ambalo hawawezi kulitegua na litawalipukia.
 

- Thaanks bro!

William.
 
Sasa wewe unatuchekesha kweli....Kwa hivi wananchi wooooooooooooteeeeeeeeeeee wanaoifurahia Chadema hawana ufahamu ila wewe ndio mwenye ufahamu zaidi kuhusu siasa inavyoendelea nchini. Give me a break. Ni hivi Chadema ni People's Power! Does it make sense now??????????????? Ninyi ndio mnaowapotosha Watanzania kuhusiana na hili Watanzania wamechoka na wizi ubadhirifu dhuluma uongo na uovu wote unaofanywa na chama tawala.
 
W.J ......Naamini kwamba mahakama haijatenda haki hata wewe unalijua hilo.
Kumbuka last week ni wewe ulotangaza nia Humu JF juu ya Kugombea jimbo kupitia CCM. Nafikiri ulifika huko kutokana na kupima mwenendo wa kesi ile.
 
mmmh, hii kali kwa hiyo wwe bwana William unataka kutwambia CDM wakionewa wasiseme kuwa wameonewa kwa kuwa watajenga utaratibu mbaya huko mbeleni? Kweli ukipofushwa huna uwezo wa kutafakari tena. Hayo ya Makongoro huyajui na huyaoni kwa kuwa ni family friend wako. Yale yale yale!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
- Waheshimiwa Zitto, Januari, na Mbowe walisema maneno kama yangu, je na wao walishindwa ubunge wa EAC? I mean where is a common sense japo kidogo tu?

William.

swala hapa si nani na nani waliongea,issue hapa ni kuwa kuna rushwa ilitolewa,na ndo hapo ujalibu kucompare stuation kama hizo na hukumu hizi zinazotolewa na watu wenye mahusiano na watu wa aina hiyo na unaibeg cdm wawe wanakubali coz ni mahakama imetoa hukumu
Umeambiwa hapo juu kuwa hata maamuzi ya kumpeleka mandela jela miaka 20 yalitolewa na mahakama,swali was that a good judgement ambayo watu hawakutakiwa kuipinga simply imetolewa na mahakama.So DISAPPOINTED WITH YOUR REASONING
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…