CHADEMA kushinda uchaguzi 2025

2025 nna uhakika mtapata Ruzuku, mtapata wabunge hata 10, mama ana huruma sana. Lazima ujue malengo ya viongozi wenu, malengo ya viongozi wenu ni Ruzuku tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani CHADEMA bado ipo ? Mimi najua ilikufa kifo cha mende mwaka 2015 siku mwenyekiti wao alipobadili gia angani. Leo hatuambia habari za chama mfu ! Hauko serious.
 
Kwa mtazamo wangu, CDM walishinda 2010, 2015 na 2020..... Ila hawakupewa nchi. Tatizo siyo kushinda bali kupewa nchi.... Same as Zanzibar.

Hiyo walioko ndani wanajua including CDM wenyewe. Refer interview ya Babu Duni uchaguzi wa 2015.

Mkuu kapumzike tu. Unaota ndoto za mchana sana. 2020 nani Huyu angeshinda Urais LISSU. Hata mwenyewe anajua hakuweza. Wewe ndo ulipiga kura. Unawajua kweli wtz. Uchaguzi mgumu kwa CCM ulikuwa 2015. 2020 ilikuwa Ni kutimiza tu matakwa ya kisheria. Kwa Amani yako take it. Usipoteze muda kujidanganya.
 
Kwa mtazamo wangu, CDM walishinda 2010, 2015 na 2020..... Ila hawakupewa nchi. Tatizo siyo kushinda bali kupewa nchi.... Same as Zanzibar.

Hiyo walioko ndani wanajua including CDM wenyewe. Refer interview ya Babu Duni uchaguzi wa 2015.
Kwa mtazamo wako CHADEMA hawajawahi kushindwa UCHAGUZI Wala Kitu chochote.

Hii ni IMANI ya JUU sana kuliko ike ya Makerubi wa Mfalme Zumaridi.
 
Mmmm hapana utafiti wako ni feki.kwa upande wangu naiona CCM iko vizuri kuliko nyakati zote.sababu ni nyingi sana.moja wafanya biashara wako vizuri,wafanyakazi wako vizuri,sera za nje ya nchi imekaa vizuri,mabenki kupunguza liba ya ukopaji hili mama limemwongezea kuaminika sana,mzunguko wa pesa tunauona.magazeti kufunguliwa hili wananchi wamelifurahia sana na wamemkubali mama,yaani ni mengi.Siasa za ubabe mama hapendi na hicho ndicho wananchi wamemkubali sana.Uncle usiwe mshabiki chambua siasa ya bila ushabiki.
 
Kote vyama tawala vilipotolewa uwanja haukuwa automatically sawa bali walipigania ukawa sawa
Tunatakiwa kulazimisha uwanja sawa,waamuzi weledi na wachezaji wa pande zote wawe idadi sawa:CCM hawafikishi hata robo ya kura.
Hilo halihitaji uwe mpiga ramli kulitambua na hata wao wenyewe wanalifahamu na ndiyo maana hawapo tayari kupatikana kwa Katiba Mpya itakayoleta Tume Huru ya Uchaguzi,Mahakama Huru na Bunge Huru la wananchi kupatikana.
Laiti CCM wangekuwa wazalendo,wakubali wakawezesha upatikanaji wa Katiba Mpya ili wapate hata waombolezaji wakati wa kifo chake kuliko kung'ang'ani katiba hii mbovu ambapo wanaweza kupotea mazima baada ya sisi Watanzania kuandika Katiba yetu Mpya mpende msipende.
Katiba Mpya is Inevitable,wake up!
 
Kwa mtazamo wangu, CDM walishinda 2010, 2015 na 2020..... Ila hawakupewa nchi. Tatizo siyo kushinda bali kupewa nchi.... Same as Zanzibar.

Hiyo walioko ndani wanajua including CDM wenyewe. Refer interview ya Babu Duni uchaguzi wa 2015.
Mkuu unajielewa kwel, yaan yule mwehu wa ubelgij aliekua anachukua watu 100 kweny kampeni ndo alimshinda magu au..
 
Salama ya Rais Samia Suluhu ni Katiba Mpya,mengine ni ya kawaida sana na hatakuwa wa kwanza.Kufungulia magazeti yaliyofungiwa na mtangulizi wake,kujenga miradi,kuwezesha mzunguko wa fedha nk hata wewe tukikupa urais ni lazima uyafanye siyo hisani.Ni kazi za serikali hizo.
 
Safari hii watapewa, kinachotakiwa ni wananchi kupiga kura nyingi kwa Cdm mpaka wezi wa kura waone aibu
Mtaje mgombea wa CDM atayeshinda urais, Kuna watu walisema watahama nchi hii tundu akishindwa na bado wanasubiri Samia awateue kwenye serikali yake.
 
✌
 
Ukweli ni kwamba Chadema ilishinda uchaguzi tangu 2010
 
kweli uko ndotoni, umesahau kuna goli la mkono?
 
hapana kuna wakati tuwe tunakubali.mama yuko vizuri mbona mlikuwa mnalia kuwa democrasia wanaiua.mama karudi na anaweka mambo sawa bado mnaloloma,na hii inatuonesha kuwa mwafrika hatupendi democrasia
 
Ukweli ni kwamba hawana mgombea Sasa sijui Nani atashinda huko saccos.
 
Wachagga hamchukui nchi,,,labda watanzania wote tuhame na tuwaachie nchi hapo sawa 😁😁😁
 
hapana kuna wakati tuwe tunakubali.mama yuko vizuri mbona mlikuwa mnalia kuwa democrasia wanaiua.mama karudi na anaweka mambo sawa bado mnaloloma,na hii inatuonesha kuwa mwafrika hatupendi democrasia
Kwani kujadili Katiba mpya kunapingana na misingi ya demokrasia?
Uwekaji wa mambo sawa bila muongozo-Katiba ni sawa na nahodha kuongoza chombo kisicho na Dira.
Mnamnyima Mh.Samia kuandika Legacy yake?
 
Ukiamka na kutoka ndotoni nenda katafute ridhiki ya watoto ndugu yangu
 
Kwani kujadili Katiba mpya kunapingana na misingi ya demokrasia?
Uwekaji wa mambo sawa bila muongozo-Katiba ni sawa na nahodha kuongoza chombo kisicho na Dira.
Mnamnyima Mh.Samia kuandika Legacy yake?
sasa wewe umetoka wapi na mambo ya katiba.mbona hiyo ni mada nyingine tena jaman mbona mnachanganya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…