Safi sana watanzania mliochoka na uonevu na ukandamizaji wa sisiem. hapa hakuna kulala mpaka kielweke. na hii ndio tafsiri ya demokrasia.

SISIEMU ni chama cha mapinduzi, wao hawajui demokrasia, huku wakipiga kelele kujifanya ni waumini wa demokrasia. wapi na wapi?
Nakushauri ubadili jina, akina Mwita hawana tabia kama zako, za kukubali kutumiwa na mafisadi kupinga hoja za msingi. Kama vipi jiite hata Nape au ridhiwani itakuwa poa sana

Magwanda siku hizi wana tabia ya kukodi mamluki, si unajua tena vijana wengi hawana ajira kwahiyo wanatumia hiyo nafasi kuwadanganya kwa kete za ndumu ili wajaze umati.

Magwanda siku hizi wana tabia ya kukodi mamluki, si unajua tena vijana wengi hawana ajira kwahiyo wanatumia hiyo nafasi kuwadanganya kwa kete za ndumu ili wajaze umati.

Ni vizuri umekiri kuwa vijana hawana ajira. Can you further en-light us, who is responsible for these youth unemployment?

Magwanda themselves, by distributing the narcotic ecstasy to the desperate boys and girls and shangaing them into participating unnecessary violent rallies.
How long have they been shangained(sp) into those rallies bcoz election lasted oct last year, apparently have u made good of 1Million jobs which were promised in the previous 5yrs ?
Mwita25 u give Kurya tribe a bad name ! U r a disgrace to men from that area because all u ever do is to give a feeble critique backed with shakespare english, u just need to grow up and argue like real man 'nacrotic ecstasy indeed'
Unakipenda kiingereza lakini kiingereza hakikupendi
Magwanda siku hizi wana tabia ya kukodi mamluki, si unajua tena vijana wengi hawana ajira kwahiyo wanatumia hiyo nafasi kuwadanganya kwa kete za ndumu ili wajaze umati.

kumbe mwita25 anajua vijana hawana ajira..hivyo anathibitisha jinsi serikali ya magamba ilivyoshindwa kuleta ajira kwa wananchi wake. unajiumbua bila kujua. low profile
Mgombea udiwani katika kata ya Endasak wilaya hanang bwana Hasimu kamunga aka Muna apewa nafasi kubwa ya kushinda. Mgombea huyo ambaye alikuwa diwani wa eneo kwa tiket ya CCM sasa amehamia CHADEMA na anagombea tena Udiwani.
Mgombea huyo aliyetuhuimiwa kumpigia kampeni mgombea wa Chadema ana nafasi kubwa yua ushindi hasa kwa kuwa anakubalika kwa pande zote mbil.
Nipo hapa endasak kwa muda na naona msafara wa kubwa unaomsindikiza mgombea huyu kwenda kuchukua fomu.
Naona pia Mh Mary Nagu akihaha kunusuru kiti hicho. Lakini duru la siasa linasema anatwanga maji kwnye kuni.
Mkuu huwezi ku upload picha?

Huu umati ni noma bahati mbaya natumia simu ya mkononi nashindwa ku upload nimepiga picha nitawaletea baadaye nikifika Arusha mjini
GreatThinkers,
For your information,
Endasak ndiyo kata aliyozaliwa Mary Nagu an ndiyo kwao,
Ipo kati ya Katesh na Dareda ukiwa unelekea Babati mjini.
Ni sehemu tata sana kwa C-C-M acha wapigwe chini.
Peoples........................Power

Mkuu huwezi ku upload picha?

CCM imeshakufa imebaki kuzikwa. watanzania wanasahau kuwa (mbwa kwa mwenye mbwa ni bora sana, lakini mbwa akipata kichaa akamng'ata mwenye mbwa anapigwa risasi)

Kama Shibuda hana shida ya Chama chochote!