Chadema kusambaratika?!

Chadema kusambaratika?!

Status
Not open for further replies.
Chadema ni mpango wa Mungu yeyote atakayetoka chadema chama kitabaki imara zaidi,someni alama za nyakati chadema kuyumba hakupo kabisa subirini press cnfrs baadae msikilize maamuzi ya kikao bila kumungunya
 
Je umefanya uchunguzi gani kujua hiyo idadi ya wafuasi wa z? KWA UPANDE MWINGINE UPO SAHIHI KWANI HAYO NI MAWAZO YAKO BINAFSI NA WAFUASI WAKO.
 
...Ukweli unauma.....ukweli ukipuuzwa huwa na tabia ya kujirudia na kujidhihirisha...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom