Meitinyiku L. Robinson
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 412
- 90
Shuka kama unaelewa unachofanya, Mi mwanaCDM hai sio shabiki kama wewe na hapa najaribu kuweka mambo sawa kama mwanachama, ila kwa wewe mpiga porojo endelea. Nipo kwa ajili ya kujenga chama sio kukishabikia kama wewe.
Ni hivi nenda ukawaambie waliokutuma CDM haitapoteza jimbo hata mmoja badala yake tutaongeza majimbo mengine mengii tuu, kwa ufupi wananzengo wameamka hawataki ubabaishaji wala ujanja ujanja na tena hata kwa mtutu wa bunduki jimbo la Arusha mjini halimpati ng'ooo
Umetumwa au unaota mkuu? lakini ni aibu sana kwa mwanaume kuota mchana. utakuwa unataka kuolewaCCM tutachukua majimbo yote ya Chadema mwaka 2015, CHADEMA hawatafikisha hata majimbo matano TANZANIA nzima.
Jibu zuri sana.....mengine itabidi muwagawie CUF
CCM tutachukua majimbo yote ya Chadema mwaka 2015, CHADEMA hawatafikisha hata majimbo matano TANZANIA nzima.
CCM tutachukua majimbo yote ya Chadema mwaka 2015, CHADEMA hawatafikisha hata majimbo matano TANZANIA nzima.
CCM tutachukua majimbo yote ya Chadema mwaka 2015, CHADEMA hawatafikisha hata majimbo matano TANZANIA nzima.
Wana JF wenzangu napenda kukishukuru CDM kwa chachu kiliyoleta ndani ya Bunge na serikali iliyo likizo ya CCM, Lakini ninakuwa na hofu juu ya utendaji ama uwajibikaji wa baadhi ya wabunge wetu majimboni, tunaenda mwaka wa pili sasa lakini kwenye majimbo hali bado ni tete sio kwa wananchi kupewa zawadi, michango au misaada ya mtu mmoja mmoja, ila katika kuwapanga wananchi kutumia japo raslimali kidogo zilizopo kwenye maeneo yao. Juzi niliwasikia vijana wasukuma matoroli yenye bendera ya CDM wakiuza maji wakisema mbunge wao ni mbunge wa Taifa, kwamba yuko makini sana kwenye mambo ya kitaifa ila jimboni anakuja kusalimia ndugu zake. Je kama hali ndo inaanza kuaw hivi Taswira ya chama na imani yake kwa umma wa maskini wa kitanzania itabaki wapi?
CCM tutachukua majimbo yote ya Chadema mwaka 2015, CHADEMA hawatafikisha hata majimbo matano TANZANIA nzima.
Mzee Ukerewe na Musoma Mjini nini kimefanyika?
No and yes. Inategemea wabunge wa pande zote watakavyoperform majimboni. Wabunge wa Chadema wakifanya kazi majimboni kama alivyokuwa akifanya Dr. Slaa, wataendelea kupata majimbo kadhaa, lakini wakiendekeza ujana wao kwenye majukwaa tu ya kelele za siasa na ndani ya Bunge (Hata ubishi wa vifungu vya sheria Bungeni wa Tundu Lissu havina tija sana kwa wapiga kura wa jimbo lake) bila kujikita kwenye kero za wananchi - maji, mbolea na pembejeo, umeme, barabara za vijijini, dawa mahospitalini, elimu duni, unyanyasaji wa wananchi na rushwa, hakika CCM watawashangaza CHadema. Lakini na wabunge wa CCM lazima pia wajikite kwenye kero za wananchi majimboni ili wasalimike.CCM tutachukua majimbo yote ya Chadema mwaka 2015, CHADEMA hawatafikisha hata majimbo matano TANZANIA nzima.
ni kweli, hii ni factCHADEMA ina wabunge wachache ambao wanafanya kazi kubwa kulea majimbo yao na majimbo yasiyo yao ili uchaguzi ukifika waweze kushinda nchi nzima