CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari leo Asubuhi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Heshima kwenu wakuu,

Nimesikia leo CHADEMA wana Press conference itakayofanyika kuanzia saa 4 asubuhi leo Jumamosi, Novemba 25, Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA, Kinondoni.

"Tutazungumza na vyombo vya habari leo juu ya hatua ambazo Chama kitachukua dhidi ya vitendo vya kiharamia vinavyofanywa na vinavyopangwa na watu wa CCM kuvuruga na kutisha wapiga kura uchaguzi wa kata 43 unaofanyika kesho Jumapili."
 
Back
Top Bottom