Kwa kipindi cha wiki moja sijaona post ya Kipuuzi kama hii,
wakuu,
mfano wa watu hao ni kama akina;
- je ni kweli uvumi kwamba fedha za kugharamikia kampeni kwa uchaguzi wa mwaka huu ni za kugharamikia kampeni za urais tu? (moshi wa kwanza).
- kwamba wagombea/viongozi wengi wana malalamiko ambayo hayasikilizwi na uongozi?(moshi wa pili).
- kwamba kutokana na kupuuzwa huko kwa wagombea/viongozi; hii imepelekea wengine kukata tamaa, na kukisaliti chama? (moshi wa tatu).
my take:
- nakaaya ( kukata tamaa),
- akina seme wa mbeya ( usaliti),
- akina nkambaku elisha (usaliti),
- yule mwanafunzi wa UDOM aliyegombea musoma na kuingia mtini ( kukata tamaa),
- akina sugu( kukata tamaa).
hii wakuu imekaaje? nini kifanyike kurekebisha hali hii?
hapo umesema, mwana mageuzi hanunuliwi kwa peremende, huyo atakua msaliti mbele ya safari, wana mageuzi ni wale wanaopambana kuhakikisha mawazo yao yanaishi.Freedom is expensive.Hawa ni wale walifikiri kuwa kazi ya ukombozi ni lele mama.See what they did to Mandela,walimfunga miaka 27 lakini hakukata tamaa.Jifunze kuhusu Baba wa Taifa Mwl.Nyerere je angekuwa ni mtu wa kukata tamaa kiivyo kama Nakaaya na hiyo timu yake tungepata uhuru kweli????????.DON'T GIVE UP PLEEEEEEEEESE.The play ground is not smooth.
View attachment 14013Usisahau na yule aliyeanguka bafuni wakati yupo na mke wa mwenzie!Laana hizi!
eeeh ndio huyo huyo alie vunja ndoa hiiView attachment 14014
Ni njaa kali
View attachment 14013Usisahau na yule aliyeanguka bafuni wakati yupo na mke wa mwenzie!Laana hizi!