kuna viongozi wana njaa sana hapo makao makuu yenu,ndugu yangu anaishi nje ya nchi na wanataka kusaidia kujenga chama kwa watanzania wanaoishi pale,nimempa contact kiongozi mmoja wa Chadema mwanamke eti amemwambia ndugu yangu huyo atampa kadi 10 za bure halafu kila kadi na katiba watakayoitaji atawatoza 10usd??????????????????huu ni upuuzi uliokithiri,hata kama ccm tumechoka nao angalieni sana kuna watu hapo njaa zinawasumbua na watawaletea matatizo lazimaaa shauri yenu,ndugu yangu amekata tamaa na ameachana na upuuzi wa kumtengenezea mtu pesa
Tutakuaminije???

Mbali ya kutumia viwakilishi nafsi vingi ambayo ni dalili ya Majungu pia Tuhuma zako hazija nyoka. Unashutmu viongozi wengi kumbe aliyevulunda ni mmoja (Naye huna hata ubavu wa kumtaja). Kwa hiyo thread yako haisaidii yoyote.kuna viongozi wana njaa sana hapo makao makuu yenu,ndugu yangu anaishi nje ya nchi na wanataka kusaidia kujenga chama kwa watanzania wanaoishi pale,nimempa contact kiongozi mmoja wa Chadema mwanamke eti amemwambia ndugu yangu huyo atampa kadi 10 za bure halafu kila kadi na katiba watakayoitaji atawatoza 10usd??????????????????huu ni upuuzi uliokithiri,hata kama ccm tumechoka nao angalieni sana kuna watu hapo njaa zinawasumbua na watawaletea matatizo lazimaaa shauri yenu,ndugu yangu amekata tamaa na ameachana na upuuzi wa kumtengenezea mtu pesa
Mbali ya kutumia viwakilishi nafsi vingi ambayo ni dalili ya Majungu pia Tuhuma zako hazija nyoka. Unashutmu viongozi wengi kumbe aliyevulunda ni mmoja (Naye huna hata ubavu wa kumtaja). Kwa hiyo thread yako haisaidii yoyote.
Mbali ya kutumia viwakilishi nafsi vingi ambayo ni dalili ya Majungu pia Tuhuma zako hazija nyoka. Unashutmu viongozi wengi kumbe aliyevulunda ni mmoja (Naye huna hata ubavu wa kumtaja). Kwa hiyo thread yako haisaidii yoyote.
kuna viongozi wana njaa sana hapo makao makuu yenu,ndugu yangu anaishi nje ya nchi na wanataka kusaidia kujenga chama kwa watanzania wanaoishi pale,nimempa contact kiongozi mmoja wa Chadema mwanamke eti amemwambia ndugu yangu huyo atampa kadi 10 za bure halafu kila kadi na katiba watakayoitaji atawatoza 10usd??????????????????huu ni upuuzi uliokithiri,hata kama ccm tumechoka nao angalieni sana kuna watu hapo njaa zinawasumbua na watawaletea matatizo lazimaaa shauri yenu,ndugu yangu amekata tamaa na ameachana na upuuzi wa kumtengenezea mtu pesa
Kuna watu tunapenda vibaya sana!kwan viongoz wa chadema ni malaika?mtawatisha watu wasitoe uozo wakiuona hayo makosa ya lugha ni kitu kidogo suala ni kufanya uchunguz kama ni kweli hiyo tuhuma?otherwise mnatupeleka kulekule kwenye mbinu za ccm kila tuhuma wao ni lete ushahid au ni majungu..