chadema kunaweza kukawa na shida lakini Mchome hawezi kuwa reliable source katika kubainisha masuala ya aina hiyo. Lemburura mchome ni mole ndani siasa za nchi hiiKumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.
Shutuma za ubadhilifu wa rasilimali fedha ndani ya chama.
Huu ni ushuhuda kutoka kwa mmoja wa viongozi wa chama mkoa wa Kilimanjaro.
Tujadili wana Jf
View attachment 3624857
Wewe kamanda unaleta mijadala kama hii kwa faid ya nani?Kumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.
Shutuma za ubadhilifu wa rasilimali fedha ndani ya chama.
Huu ni ushuhuda kutoka kwa mmoja wa viongozi wa chama mkoa wa Kilimanjaro.
Tujadili wana Jf
View attachment 3624857
Mkuu naona hujaelewa kilichoandikwa pia naona humjui mleta madaTatizo ni akili zenu fupi.
CHADEMA mtafanikiwa kuifarakanisha na wananchi endapo wanachama wake watakuwa wameshapata option B.
Mbali na hapo mtahangaika sana bila mafanikio.
nenda kawaulize huko ulikosikia.Pia nasikia Heche kakimbilia Ubelgiji na pia twaomba ufafanuzi kwa hili.kwanini akimbilie ubelgiji na je anaenda huko kufanya nini?
Huyu ashafukuzwa chama zamaniKumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.
Shutuma za ubadhilifu wa rasilimali fedha ndani ya chama.
Huu ni ushuhuda kutoka kwa mmoja wa viongozi wa chama mkoa wa Kilimanjaro.
Tujadili wana Jf
View attachment 3624857
in fact kuna changamoto nyingi mno zitakazopelekea Joseph Selasini kukaimu uenyekiti wa chadema taifa kirahisi mno 🐒Kumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.
Shutuma za ubadhilifu wa rasilimali fedha ndani ya chama.
Huu ni ushuhuda kutoka kwa mmoja wa viongozi wa chama mkoa wa Kilimanjaro.
Tujadili wana Jf
View attachment 3624857
---------------
Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Mwanga, Mkoani Kilimanjaro Lembrus Mchome ametoa tuhuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche, akidai kuwa amekuwa akikusanya fedha kutoka kwa wadau, wafanyabiashara na mashirika mbalimbali kwaajili ya shughuli za chama lakini fedha hizo hazijafikishwa kwenye mifuko rasmi ya chama.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mchome amedai kuwa suala hilo lilijadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema na kusababisha mvutano miongoni mwa viongozi, akimpongeza Godbless Lema kwa kile alichodai kuwa ni alisimama kidete kutaka fedha hizo ziwekwe wazi na kuwajibishwa kwa waliohusika.
"Tumekuwa na Makamu Mwenyekiti ambaye amekuwa akichukua fedha kutoka kwa wadau mbalimbali lakini zimekuwa hazifiki ndani ya chama. Ndio maana juzi kwenye Kamati Kuu wamegombana. Nimpongeze sana Godbless Lema kwani alisimama kidete kutaka fedha hizi zirudi, lakini haikuwezekana kwani Makamu Mwenyekiti alidai kuwa ameshazitumia na nyingine amenununulia vyombo vya muziki vya chama," alisema Mchome.
Mchome amebainisha kuwa baadhi ya wafanyabiashara waliowasiliana na Uongozi wa Chadema kupitia Kamati kuu iliyoketi Mkoani Kigoma walithibitisha kuwa walitoa michango kwa Heche kwaajili ya kukisaidia chama. Pia alidai Heche alisafiri hadi Afrika Kusini kwa lengo la kupokea fedha kutoka kwa wadau, akitoa rai ya wanachadema kumshinikiza Heche kujiondoa kwenye uongozi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo.
"Sasa niwaombe wanachama wa Chadema tushikamane kumtaka John Heche atupishe kwanza kwaajili ya uchunguzi. Chama hiki kinaamini katika misingi ya haki na kupinga ufisadi, kwa hiyo kwanini leo tumfumbie macho Heche?" alisema Mchome.
Katika hatua nyingine Mchome amemtuhumu Heche kunufaika kisiasa na hali ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu kuwa gerezani, akisema amekuwa akijijenga kisiasa pamoja na kutumia mwanya huo kuweza kufanya ubadhirifu kwa
Chanzo: Michuzi TV
Upo sahihi sana ila ni vyema sana kuanza kulijadili hilo maana hata mbuyu ulianza kama mchichachadema kunaweza kukawa na shida lakini Mchome hawezi kuwa reliable source katika kubainisha masuala ya aina hiyo. Lemburura mchome ni mole ndani siasa za nchi hii
Mkuu nakufahamu sana tu.Mkuu naona hujaelewa kilichoandikwa pia naona humjui mleta mada
Kumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama.