Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Kwa hiyo mimi nanarudi kwenye msimamio ule ule, hakuna msafi ila tupime usafi wa mtuu, Aliyechafuta na taka za chakula, hawezi kuwa sawa na aliyechafuka na kinyesi
Wote wawili Magufuli na Lowassa wamechafuka na vinyesi,hakuna msafi hapo.Kama CCM wangemweka Jaji Ramadhani wala nisingegeuka nyuma ningempa Judge Ramadhani.
Ni kama vile ninavyoaamini kama Dr.Slaa angekuwa na Mkewe wa kwanza Rose Kamili leo tusingeongelea suala la yeye kuingia kwenye kumtafuta Lowassa mpaka kumtafuta mshenga.
Ninaamini katika usafi uliotukuka.Hapo kati ya hao wawili wote ni wachafu wa aina moja,tofauti yao ni muda waliochafuka.
Kama ulikuwa Waziri ndani ya cabinet ukakubali kuuza GAS bure kwa miaka saba kwa wachina leo kwanini nikuchague???Kwanini hukukataa ukiwa ndani unakuja kuropoka nje???
Nyumba za serikali je,Zile bilioni 262?Na meli ya mwaka 1970 unasemaje.