CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?

Huyu ni naibu katibu mkuu, mpaka sasa kachanganya mpaka kajichanganya mwenyewe.Naibu haeleweki na anatia shaka. Ni mtu hatari sana na yuko radhi kufanya chochote au kutumia rasilimali yeyote ilimradi tu apate sifa, heshima na watanzania wamkubali.

Ukibisha muulize Maswi, naibu alimtumia SMS ya vitisho kisa katajwa kwenye kashfa fulani ya umeme. Kwa kutambua nguvu ya mtandao wake,Maswi alinywea mara moja. Naibu katibu mkuu ndo cheo chake lakini ndani ya moyo wake yeye ni mwenyekiti na itifaki ya kichama si chochote kwake.

Naibu hapendi mafisadi lakini gizani ni marafiki zake wakubwa, anakula na kunywa nao. Naibu haipendi EPA lakini Maria Kejo ni rafiki yake wa karibu sana. Mwanahalisi waliwai kunasa mawasiliano yake na mama huyu.Tena anamuita "Dear".
Naibu hapendi wawekezaji wanao tunyonya, aliwai kuwa report waliosign mkataba katika hoteli fulani nje ya nchi.Baada ya mwaka naibu aliwakaribisha jimboni kwake wakamjengea shule.

Naibu anachoma kushoto anageuka kuria na kumtafuta mchomaji,kweli gamba la nyoka halimnyongi nyoka.Naibu anamtafuta kirusi, tena katoa rai kwa raia wema kumsaidia.

Kwanini asimuulize rafiki yake Rashid othmani Chande,au kasahau kuna mawasiliano na mikutano yake na Chande vimewahi kuandikwa sana katika gazeti Fulani lililofungiwa. Naibu anataka chama kimchunguze mtuhumiwa Fulani, si awaulize hao jamaa zake wapi waliipata ile video? Je naibu anatambua kuwa huyu rafiki yake na taasisi anayoisimamia wanatuhumiwa kuhujumu chama chake.Inawezekana sisi ni wasahaurifu lakini haya ya naibu nayakumbuka.

Naibu anajua kunakirusi alafu anaandika barua kwenda kwa katibu mkuu? Alafu eti anashangaa kuona barua yake mtandaoni. Kwani hamjui aliyeiweka? Au anatufanyia ka mchezoalikocheza na mwana blog fulani humu kwa kumshutumu alafu akampigia simu ili aandike makara ndeefu ya kujisafisha..

Naibu katibu mkuu, Mwenye macho haambiwi tazama, Kirusi tushamjua , na kuweweseka kwake ndokumemkamatisha. Mwenye masikio na asikie,
 
SONGOKA umepigilia msumari kabisa. Wengi tunajua naibu ndiye virus/kirusi hatari kwa chama. Naibu ni mnafiki, ni mbaya kama sura yake ilivyo. Hata ukimwangalia kwa umakini unajua kuwa kuna unafiki fulani ameubeba yeye anataka sifa tu. Naibu ameshakiuza chama, naibu ameshapokea marupurupu mengi kwa kusaliti chama. Naibu inabidi utaratibu wa kisiasa ufanyike ili 2015 aaga rasmi. Kwa hakika naibu ni kizuizi kikali kwa maendeleo ya chama. Naibu ni mamluki, masali na ameshanunuliwa, amekubali kuuza dhamira njema ya Watanzania. Tuwe makini kwa Naibu hasa kipindi hiki tunaelekea 2015.
 
SONGOKA umepigilia msumari
kabisa. Wengi tunajua naibu ndiye virus/kirusi hatari kwa chama. Naibu
ni mnafiki, ni mbaya kama sura yake ilivyo. Hata ukimwangalia kwa
umakini unajua kuwa kuna unafiki fulani ameubeba yeye anataka sifa tu.
Naibu ameshakiuza chama, naibu ameshapokea marupurupu mengi kwa kusaliti
chama. Naibu inabidi utaratibu wa kisiasa ufanyike ili 2015 aaga rasmi.
Kwa hakika naibu ni kizuizi kikali kwa maendeleo ya chama. Naibu ni
mamluki, masali na ameshanunuliwa, amekubali kuuza dhamira njema ya
Watanzania. Tuwe makini kwa Naibu hasa kipindi hiki tunaelekea
2015.

ana sura ya kichawi we huoni macho yake?
 
Inaonekana aliyeandika haya ni mtu mkubwa kuliko Naibu. Haya makubwa ndani ya CHADEMA mnagombana ninyi kwa ninyi huku kesi ya Lwakatare bado tena mbichi.

Maelezo haya yote yaliyotolewa kama weweni GT utajua ndani yake kunamuunganiko na ile Video ya Lwakatare.
Kunamtu alitoa fumbo la if X=Y and Y=X then X=Z

Huu ujumbe ulioletwa hapa ni mkubwa sana.
Kuna mabo muhimu sana ya kufikiri
1. Mwampamba na rafiki yake kuhusu Naibu kuwekewa sumu?
2. Naibu kuongelewa katika video ya Lwaka
3. Nahii ya leo inamuhusu naibu.

Hii ni hatari sana isipofanyiwa uchunguzi.
 
Unamaanisha Mgombea Binafsi wa urais 2015 ambaye campain zake zitaratibiwa na upande wa pili. kweli siasa mchezo mchafu unakula na kupuliza
 
Hii mududu hatari kabisa nakula dani kwa dani kama hapana tia dawa mapema nashtukia napekechapekecha mara mti chini.TUMEKUSOMA.
 
Hakuna wa kumlaumu zaidi ya intellensia ya chama, naibu anaogopwa kama pollonium? Tahadhari yangu kwenu ni hii, huyu Naibu katibu mkuu akiungana na naibu katibu mkuu wa ccm pamoja na vijana wao wa kazi 2015 hawatashikika. Maana wana uwezo wa kuwarubuni na kuwanunua vijina dizaini ya akina shonza, wakawainginza madarakani. Hamkuona naibu mwenzake huko kenya alivyoungana na mwenzake wakachukua nchi. Narudia tena, shukrani ya punda ni mateke, sasa jiandaeeni kuugulia kwa maumivu.
 
Huyu ni naibu katibu mkuu, mpaka sasa kachanganya mpaka kajichanganya mwenyewe.Naibu haeleweki na anatia shaka. Ni mtu hatari sana na yuko radhi kufanya chochote au kutumia rasilimali yeyote ilimradi tu apate sifa, heshima na watanzania wamkubali.

Ukibisha muulize Maswi, naibu alimtumia SMS ya vitisho kisa katajwa kwenye kashfa fulani ya umeme. Kwa kutambua nguvu ya mtandao wake,Maswi alinywea mara moja. Naibu katibu mkuu ndo cheo chake lakini ndani ya moyo wake yeye ni mwenyekiti na itifaki ya kichama si chochote kwake.

Naibu hapendi mafisadi lakini gizani ni marafiki zake wakubwa, anakula na kunywa nao. Naibu haipendi EPA lakini Maria Kejo ni rafiki yake wa karibu sana. Mwanahalisi waliwai kunasa mawasiliano yake na mama huyu.Tena anamuita "Dear".
Naibu hapendi wawekezaji wanao tunyonya, aliwai kuwa report waliosign mkataba katika hoteli fulani nje ya nchi.Baada ya mwaka naibu aliwakaribisha jimboni kwake wakamjengea shule.

Naibu anachoma kushoto anageuka kuria na kumtafuta mchomaji,kweli gamba la nyoka halimnyongi nyoka.Naibu anamtafuta kirusi, tena katoa rai kwa raia wema kumsaidia.

Kwanini asimuulize rafiki yake Rashid othmani Chande,au kasahau kuna mawasiliano na mikutano yake na Chande vimewahi kuandikwa sana katika gazeti Fulani lililofungiwa. Naibu anataka chama kimchunguze mtuhumiwa Fulani, si awaulize hao jamaa zake wapi waliipata ile video? Je naibu anatambua kuwa huyu rafiki yake na taasisi anayoisimamia wanatuhumiwa kuhujumu chama chake.Inawezekana sisi ni wasahaurifu lakini haya ya naibu nayakumbuka.

Naibu anajua kunakirusi alafu anaandika barua kwenda kwa katibu mkuu? Alafu eti anashangaa kuona barua yake mtandaoni. Kwani hamjui aliyeiweka? Au anatufanyia ka mchezoalikocheza na mwana blog fulani humu kwa kumshutumu alafu akampigia simu ili aandike makara ndeefu ya kujisafisha..

Naibu katibu mkuu, Mwenye macho haambiwi tazama, Kirusi tushamjua , na kuweweseka kwake ndokumemkamatisha. Mwenye masikio na asikie,

Yaani tumenyeshewa mvua, tukawakiwa jua, tukaumwa njaa, tukakaukia kiu, tukang'atwa na nyoka na nge kule jangwani kwa miaka 40, wakati tunakaribia kuingia Kaanani, upuuzi wako huu uturudishe Misri?!!!

Big NO...
 
Sema wewe kiazi, akisema muhogo ataambiwa ana mzizi...
 
Yaani tumenyeshewa mvua, tukawakiwa jua, tukaumwa njaa, tukakaukia kiu, tukang'atwa na nyoka na nge kule jangwani kwa miaka 40, wakati tunakaribia kuingia Kaanani, upuuzi wako huu uturudishe Misri?!!!

Big NO...

Chunguza vizuri bila ghazabu utagundua nani anakurudisha MISRI....
 
Hakuna wa kumlaumu zaidi ya intellensia ya chama, naibu anaogopwa kama pollonium? Tahadhari yangu kwenu ni hii, huyu Naibu katibu mkuu akiungana na naibu katibu mkuu wa ccm pamoja na vijana wao wa kazi 2015 hawatashikika. Maana wana uwezo wa kuwarubuni na kuwanunua vijina dizaini ya akina shonza, wakawainginza madarakani. Hamkuona naibu mwenzake huko kenya alivyoungana na mwenzake wakachukua nchi. Narudia tena, shukrani ya punda ni mateke, sasa jiandaeeni kuugulia kwa maumivu.

Hizi zote ni propaganda za Dr. Slaa anazoshauriwa na Josephine. Ameona jana uroho wake umejadiliwa na wadau wameanza kuelewa jisi asivyofaa sasa ameanza kuja na propaganda zilizopitwa na wakati.

Hapo hakuna jipya aliloandika!
 
Back
Top Bottom