SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,843
- 1,841
Huyu ni naibu katibu mkuu, mpaka sasa kachanganya mpaka kajichanganya mwenyewe.Naibu haeleweki na anatia shaka. Ni mtu hatari sana na yuko radhi kufanya chochote au kutumia rasilimali yeyote ilimradi tu apate sifa, heshima na watanzania wamkubali.
Ukibisha muulize Maswi, naibu alimtumia SMS ya vitisho kisa katajwa kwenye kashfa fulani ya umeme. Kwa kutambua nguvu ya mtandao wake,Maswi alinywea mara moja. Naibu katibu mkuu ndo cheo chake lakini ndani ya moyo wake yeye ni mwenyekiti na itifaki ya kichama si chochote kwake.
Naibu hapendi mafisadi lakini gizani ni marafiki zake wakubwa, anakula na kunywa nao. Naibu haipendi EPA lakini Maria Kejo ni rafiki yake wa karibu sana. Mwanahalisi waliwai kunasa mawasiliano yake na mama huyu.Tena anamuita "Dear".
Naibu hapendi wawekezaji wanao tunyonya, aliwai kuwa report waliosign mkataba katika hoteli fulani nje ya nchi.Baada ya mwaka naibu aliwakaribisha jimboni kwake wakamjengea shule.
Naibu anachoma kushoto anageuka kuria na kumtafuta mchomaji,kweli gamba la nyoka halimnyongi nyoka.Naibu anamtafuta kirusi, tena katoa rai kwa raia wema kumsaidia.
Kwanini asimuulize rafiki yake Rashid othmani Chande,au kasahau kuna mawasiliano na mikutano yake na Chande vimewahi kuandikwa sana katika gazeti Fulani lililofungiwa. Naibu anataka chama kimchunguze mtuhumiwa Fulani, si awaulize hao jamaa zake wapi waliipata ile video? Je naibu anatambua kuwa huyu rafiki yake na taasisi anayoisimamia wanatuhumiwa kuhujumu chama chake.Inawezekana sisi ni wasahaurifu lakini haya ya naibu nayakumbuka.
Naibu anajua kunakirusi alafu anaandika barua kwenda kwa katibu mkuu? Alafu eti anashangaa kuona barua yake mtandaoni. Kwani hamjui aliyeiweka? Au anatufanyia ka mchezoalikocheza na mwana blog fulani humu kwa kumshutumu alafu akampigia simu ili aandike makara ndeefu ya kujisafisha..
Naibu katibu mkuu, Mwenye macho haambiwi tazama, Kirusi tushamjua , na kuweweseka kwake ndokumemkamatisha. Mwenye masikio na asikie,