mzee wa mawe
Senior Member
- Aug 2, 2011
- 151
- 15

Mmeanza uchonganishi,unasubiri nini kutoka kwa mashekh mbona usihoji wala usisubiri tamko kwa kitendo cha kampeni meneja kuchukua kiburudishao cha ustaadh hapa igunga?

Mawazo mgando hukimbilia uchonganishi
Akiongea DC wa igunga Fatuma kimario akiongea na waandishi wa habari mjini igunga amesema kuwa yeye ni desturi yake anapovaa nguo yoyote ni lazima avae Hijabu kwa hiyo kitendo cha kumvua hijabu ni sawa na kumuacha uchi, na kwa mujibu wa dini kiislamu ni udhalilishaji na kejeli kwa dini hiyo, tusubiri tamko la Masheikh.
Mmm nasema hivi! CCM Kuwavua chu.. hawa Ma-DC kinamama kabla ya kuwapa cheo ni machukizo mbele za mungu na si mbele ukristo au uislamu.Akiongea DC wa igunga Fatuma kimario akiongea na waandishi wa habari mjini igunga amesema kuwa yeye ni desturi yake anapovaa nguo yoyote ni lazima avae Hijabu kwa hiyo kitendo cha kumvua hijabu ni sawa na kumuacha uchi, na kwa mujibu wa dini kiislamu ni udhalilishaji na kejeli kwa dini hiyo, tusubiri tamko la Masheikh.
Akiongea DC wa igunga Fatuma kimario akiongea na waandishi wa habari mjini igunga amesema kuwa yeye ni desturi yake anapovaa nguo yoyote ni lazima avae Hijabu kwa hiyo kitendo cha kumvua hijabu ni sawa na kumuacha uchi, na kwa mujibu wa dini kiislamu ni udhalilishaji na kejeli kwa dini hiyo, tusubiri tamko la Masheikh.
Mimi ni muislam,na naelewa umuhim na thaman ya HIJABU KWA MWANAMKE WA KIISLAM.,YULE MAMA NIMEMUONA KWENYE T.V LEO,HIJABU HAIVALIWI VILE,YULE AMEVAA KITAMBAAA TU,,,,,,,NA KUHUSU CHADEMA NI KWELI HAWAKUMTENDEA HAKI,KUMPA KASHKASH AS WOMAN,ANGEKUWA MWANAUME KAMA TAMBWE AU NAPE AU KADA YEYOTE INGEKUWA SAWA,SI KWA MWANAMKE,KUTOKANA NA MAUMBILE YAKE,JE ANGEDONDOSHA SHANGA??????

simple minded hapo kwenye red..................yaani ingekua kabla ya kujiunga na JF wanapima IQ, nadhani usingekua member humuAkiongea DC wa igunga Fatuma kimario akiongea na waandishi wa habari mjini igunga amesema kuwa yeye ni desturi yake anapovaa nguo yoyote ni lazima avae Hijabu kwa hiyo kitendo cha kumvua hijabu ni sawa na kumuacha uchi, na kwa mujibu wa dini kiislamu ni udhalilishaji na kejeli kwa dini hiyo, tusubiri tamko la Masheikh.
Hakuna haja juu ya tamko la masheikh, kwa kitendo kile si UUNGWANA hata kidogo. Si ishara nzuri katika ustawi wa taifa hili, ni jambo linaloweza kutumiwa kama 'turufu' kubwa kwa oponents wa Chadema katika kinyang'anyiro jimboni Igunga. Kuwepo na ushindani wa hoja, si kuvunjiana UTU. I personally condemn kwa tendo hilo nikiwa ni HE.

We ndugu yangu mbona unapenda kutoa hoja za uchochozi wa kidini?Wakwenda pale kwa nia ya kumvua hijabu.Shida na haja ya chadema ni kutaka kujua kwanini aliongoza kikao hicho wakati na wao walikua na mkutano wa Kampeni?Penye kurupushani kuna kua na mengi hivyo unaweza kujenga hoja kwamba halikua kusudi lao kumvua hijabu.Je tamko la Mashehe litazungumzia nini?Tanzania ni secular state hivyo haimini katika misingi ya dini yoyote,acha tabia za kuzungumzia mambo ya udini ni hatari.
Mtindo wa CCM kuwatumia ma DC na ma RC kwenye kampeni za kisiasa ikiwa ni pamoja na wizi wa kura kutakuja waletea watendaji hawa matatizo makubwa pindi wananchi watakapoamua kujichukulia sheria mikononi.Mimi ni muislam,na naelewa umuhim na thaman ya HIJABU KWA MWANAMKE WA KIISLAM.,YULE MAMA NIMEMUONA KWENYE T.V LEO,HIJABU HAIVALIWI VILE,YULE AMEVAA KITAMBAAA TU,,,,,,,NA KUHUSU CHADEMA NI KWELI HAWAKUMTENDEA HAKI,KUMPA KASHKASH AS WOMAN,ANGEKUWA MWANAUME KAMA TAMBWE AU NAPE AU KADA YEYOTE INGEKUWA SAWA,SI KWA MWANAMKE,KUTOKANA NA MAUMBILE YAKE,JE ANGEDONDOSHA SHANGA??????

Hatuwezi kuacha kuwakemea na tabia yao hiyo, wewe umemsikia heche amesema watafanya hivyo kwa mkuu wa mkoa hata kwa mkuu wa nchi. hii ni nchi inaongozwa kwa kufuata sheria si kihuni kihuni. DC anahaki ya kufanya mkutano mahali popote, muda wowote, siku yoyote hata kama kuna mkutano wa uchaguzi. soma sheria za uchaguzi.