CHADEMA kumualika mwl.Kashindye wa Igunga siku ya kufunga M4C campain Morogoro

Ushauri mzuri dogo Lu-ma-ga.

Kesi hii unajua ilibidi ifanyikie Nzega badala ya Igunga, eti ili kuogopa vurugu zinazoweza tokea. Matokeo yake jana Nzega palikuwa hapatoshiiii kwa shamrashamra kila kona na maandamano ya pongezi.
Bravo CDM, Bravo Mwl. Kashindye!!

Akiunganishwa kwenye Ziara za Operation Sangara na M4C, it will sound good......

Salamu tosha kwa Dr. Hamisi. Ajiandae kukabidhi jimbo kwa wenyewe.
 
:baby:mabwepande hao wamepatikana,
mahakama imewabana,
inteligensia imeshindwa,
kutapatapa ndiyo yao faraja,
remote yakuchagua haki iligoma,
asilani hamtashinda,
ushahidi usiyo na mashaka umeletwa,
mahakama ikaridhia,
 
nape sasa si mwanasiasa bali ni true political recycler,mbadilisha ukweli kwenda propaganda nyepesi,namfananisha na topic moja ya kiingereza ya kubadili sentensi kuwa swali,ndio akifanyacho sasa:baby:
 
vita bado inaendelea hakuna sababu ya kumsahaulisha kashindye kuwa kazi ipo bado na anaaswa kujipanga kumalizia kuliua hili joka
 
Back
Top Bottom