CHADEMA kumshitaki Mkumbo mahakamani


Kwani hizo gharama wanamdai kivipi RPC kwani yeye ndio alimuandikia barua Lowasa aende akaishi Mwanza muda wote huo? Huu utoto! Kwani Lowasa ndio alikuwa muombolezaji pekee? Mbowe mpiga.dili sana.
 
Ile kesi ilitambulika kuwa kiongozi wa chadema apewe haki ya kuagwa na ndg jamaa,marafiki na wanachama wa chadema.Hivyo madai hayo lazima yasimamiwe na chama maana aliyeuawa ni kiongozi wa chama.RC ni chanzo cha hayo yote na ndiye aliyeshtakiwa na kesi kashindwa! Hivy lazima alipe gharama za usumbufu.Ndiyo maana nilisema elimu za vyuo vya bongo si zakumwamini mtu hata awe na GPA ya 4:8.Narudia kusema kunatofauti kubwa ya kuelewa na kukariri.Eti wasomi! Huelewi nini maana ya kiongozi?
 
Na wale watoto wa Mwangosi nao bado wanasomeshwa?

Jitahidi angalau kutumia akili angalau zile za mtoto wa chekechea, je mwangozi alikuwa mwanachama au kiongozi wa CHADEMA? yaani mnaua watu ili muweze kuandika upuuzi kama huu unaouandika NYAMBAAAFUU!!
 
Wanachofanya Chadema ni kuidhalilisha familia ya Mawazo kila kitu wanachowafanyia wanawatangazia wananchi.

Na nyie mmejisahau jinsi mlivyoidhalilisha familia ya Mgimwa kwa mlichokifanya na baadae kumpa kipoozeo Ubunge mtoto wake.
 

Kati ya aliowasema Mkapa kuwa ni Wapumbavu wewe ni zaidi ya Wapumbavu maana wewe ni Mjinga sana.
 
Kwani hizo gharama wanamdai kivipi RPC kwani yeye ndio alimuandikia barua Lowasa aende akaishi Mwanza muda wote huo? Huu utoto! Kwani Lowasa ndio alikuwa muombolezaji pekee? Mbowe mpiga.dili sana.


Kati ya aliowasema Mkapa kuwa ni Wapumbavu wewe ni zaidi ya Wapumbavu maana wewe ni Mjinga sana.
 
Sass hawa Chadema watamshitakia wapi Mkumbo wakati kila siku wanasema hawana imani na mahakama zetu au watampeleka ICC.
 
Kama mbowen skate ni mwenyekiti wa chadema ameona ana haki kwenda mahakamani kuna kosa gani... Stop bringing your stupidity.
You are a fool! Yaani aende mahakamani kwa sababu Lowassa ametumia gharama kubwa Mwanza?
 

Mimi nawashangaa watu mnacomment habari ya mpuuzi kama huyu,
kuna mambo yapo wazi kabisa jamaa wameshindwa kesi kwann wasilipe gharama za usumbufu?.

KILA JAMBO ANALIHUSIANISHA NA SIASA NA UFISADI, ATAKUWA RIMBUKENI HUYU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…