Mbowe ana mambo ya ajabu sana! Hivi kulikuwa na haja gani ya kuutangazia ulimwengu kuwa wabunge wa UKAWA watachanga pesa eti laki 3 ya kumsomesha mtoto wa Mawazo!? Hivi alishindwa kuongea na wabunge wake kimya kimya huko mpaka atutangazie!?
Wakuu, katika mwendelezo wa sarakasi nimemsikia Mbowe akidai watamfikisha mahakamani Mkumbo (RPC?) ili ajue gharama za kumweka Lowassa Mwanza. Watataka CHADEMA walipwe gharama za kumweka Lowassa siku nane. Wakati rais Magufuli akibana matumizi, NGO zinazojitambulisha Kama vyama vya siasa zinatafuta mianya ya kupigia pesa. Hawa ndio wapinga ufisadi!!?
Mkuu, kwani aliyefungua kesi ni chadema ama baba mdogo wa Alphonce Mawazo? Nani hasa mwenye mamlaka ya kudai fidia?Kudai fidia ni haki. Ukitaka usidaiwe usilete usumbufu usiofuata sheria.
Huyu Mbowe ana akili finyu sana. Yaani kesi ifunguliwe na baba mdogo wa marehemu Mawazo yeye Mbowe anataka kuchuma mkwanja kihivihivi, bila hata aibu?Mkuu, kwani aliyefungua kesi ni chadema ama baba mdogo wa Alphonce Mawazo? Nani hasa mwenye mamlaka ya kudai fidia?
Ni nakwambia kamanda Mbowe ni mhuni tu na mbinafsi. Atashurutishaje wabunge wachangie kwa mtoto wa Mawazo bila ridhaa yao.!??? Yaani kafanya maamuzi tu ya kihuni huni. Sio zama zake hizi.
Je watoto wa Chacha Wangwe mbona wamtupwa kule
Je watoto na familia na Mwangosi mbona imetelekezwa? ?
Je mbona familia na dr Mvungi imetelekezwa? ?
Je mbona wapo wahanga wengi wa siasa ambao wametangulia mbele ya haki kwa ajili ya kutetea ukawa na chadema mbona wametelekezwa? ??
Kwa nini iwe kwa Mawazo? ??? Na kuamua kuwalazimisha wabunge, wengine ni wapyaaa hata hawataki biashara ya kupelekeshana kama hiyo? ?
Mbowe ana mambo ya ajabu sana! Hivi kulikuwa na haja gani ya kuutangazia ulimwengu kuwa wabunge wa UKAWA watachanga pesa eti laki 3 ya kumsomesha mtoto wa Mawazo!? Hivi alishindwa kuongea na wabunge wake kimya kimya huko mpaka atutangazie!?
Huyu Mbowe ana akili finyu sana. Yaani kesi ifunguliwe na baba mdogo wa marehemu Mawazo yeye Mbowe anataka kuchuma mkwanja kihivihivi, bila hata aibu?
Ni nakwambia kamanda Mbowe ni mhuni tu na mbinafsi. Atashurutishaje wabunge wachangie kwa mtoto wa Mawazo bila ridhaa yao.!??? Yaani kafanya maamuzi tu ya kihuni huni. Sio zama zake hizi.
Je watoto wa Chacha Wangwe mbona wamtupwa kule
Je watoto na familia na Mwangosi mbona imetelekezwa? ?
Je mbona familia na dr Mvungi imetelekezwa? ?
Je mbona wapo wahanga wengi wa siasa ambao wametangulia mbele ya haki kwa ajili ya kutetea ukawa na chadema mbona wametelekezwa? ??
Kwa nini iwe kwa Mawazo? ??? Na kuamua kuwalazimisha wabunge, wengine ni wapyaaa hata hawataki biashara ya kupelekeshana kama hiyo? ?
Mpumbavu nyumbu wewe, kudai fidia eti sababu kumweka Lowassa Mwanza ni gharama kubwa ni upuuzi uliopitiliza. Nyumbu weee
Kisheria haiko hivyo. Hiyo ni kesi ya baba mdogo wa marehemu Mawazo na si vinginevyo. Hayo madai ya Mbowe hayawezi kutambulika kisheria.baba mdogo,alitumika kama njia tu,"mlango wa nyuma",ila wenye kesi ni chadema!nadhani uliiona safu ya wanasheria!hyo kesi ni 100% chadema case!
Less judicator. Kesi imeshaamuliwa mahakamani. Walichochemka mawakili wa CHADEMA ni kutojumuisha ombi la kulipwa gharama na kuendesha kesi na usumbufu uliojitokeza.
Less judicator. Kesi imeshaamuliwa mahakamani. Walichochemka mawakili wa CHADEMA ni kutojumuisha ombi la kulipwa gharama na kuendesha kesi na usumbufu uliojitokeza.
Na wale watoto wa Mwangosi nao bado wanasomeshwa?Mbowe ana mambo ya ajabu sana! Hivi kulikuwa na haja gani ya kuutangazia ulimwengu kuwa wabunge wa UKAWA watachanga pesa eti laki 3 ya kumsomesha mtoto wa Mawazo!? Hivi alishindwa kuongea na wabunge wake kimya kimya huko mpaka atutangazie!?
Na maguful alishndwa nn kukaa kimya mpaka atangaze kaokoa pesa za sherehe ya wabunge, wakat pesa zenyewe ni michango ya Mashrka ya umma, uoni ni aibu kwa rais wa nch kuleta mbwembwe kwa ajili ya 250M, wakat watu wanapiga maescrw kwa kuchekacheka
Akiri za kitoto hizi eti kwa vile kakojoa acha na mie nitoe kangu ..hivi mnaelewa hata maana ya kuwa rais? tuanze na familia yako labda, kuna mtu aliwahi kuwa rais wa nchi kutoka kwenu?
Nafuu huyo aliyetangaza kuchanga fedha za kumsomesha mtoto wa marehemu kuliko yule aliyetangaza kumtibu Ray C kwa kuelemewa na madawa ya kulevya yaani TEJA huku waliomsababishia uTEJA huo wakiachwa wakiendelea na biashara hiyo.
Wanachofanya Chadema ni kuidhalilisha familia ya Mawazo kila kitu wanachowafanyia wanawatangazia wananchi.