Kujadili mambo ambayo huwezi kuyatolea maamuzi ni kupoteza muda; serikali ipo chini ya chama makini CCM; chama tawala ndicho chenye uwezo wa kuijadili serikali kuona inatekeleza vipi sera zake; wengine ni kumpigia mbuzi gitaa.
Chama
Mongavyeru
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hawana sera mkuu, watajadili hewa zote na matatizo yao watayaweka kiporo.- Bado wanakwepa kujadili kadi ya Slaa? Kweli Slaa ni kiboko huko Chadema!!
Es!
- Bado wanakwepa kujadili kadi ya Slaa? Kweli Slaa ni kiboko huko Chadema!!
Es!
- Bado wanakwepa kujadili kadi ya Slaa? Kweli Slaa ni kiboko huko Chadema!!
Es!
mkuu naona umelewa gongo za Mongavyeru ambazo ni Kali sanaVikao vingine ni vya kula posho Raisi anatekeleza majukumu yake kikatiba; hao Chadema watathmini M4C zao; ni upuuzi mtupu Raisi wa jamhuri ya Muungano ashurutishwe kutekeleza majukumu yake na kikundi cha wahuni wachache hivi wanajua nini maana ya Raisi JMT? Raisi Kikwete hakujiweka madarakani tulimchagua kwa kishindo na anatufanyia kazi kwa uwezo wake wote bila kutubagua.
Chama
Mongavyeru
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Nikweli kabisa Kama ujangili wa Tembo wetu unasimamiwa na Rais na katibu wa chama huwezi kuutolea maamuziNi kichesho unajadili jambo ambayo uwezi kulitolea maamuzi.
mkuu naona umelewa gongo za Mongavyeru ambazo ni Kali sana
Things fall apart..Soon and very soon we will see people running hither and tither! Where is my pop corn mwanzo wa ngoma ni lele....When some of us talk you should be informed that its not a joke.....We see the end before the beggining..Msije sema hamkujua...
eti wamjadili kikwete! kama nani? kwani wao si wanae rais wao slaa? kichekesho.
Nikweli kabisa Kama ujangili wa Tembo wetu unasimamiwa na Rais na katibu wa chama huwezi kuutolea maamuzi
Ben Saanane mkuu wewe si Masalia? au siku hizi Mshumbusi kashakukubali? Maana ZZK ni mshkaji wako ila ni adui yao kwa kupenda kusimamia ukweli....Wajadili kadi ya Slaa?Mkuu hicho siyo kikao cha kujadili upuuzi
Hujakosea sana kwenye compliment,ni kiboko ya wanaohujumu CHADEMA
luhala mkuu inaonesha umekaririshwa vibaya hahahaKumbe zogo mlilolianzisha la Dr. Slaa lilikuwa na lengo la kuwapotosha watu wasijadili mauaji, utekaji nyara na wizi uliokithiri kwa umma wa watanzania? Poleni sana, kwani umma ukishaamua hauzuiliki nawashauri mkajipange upya. The peoples power will always prevail. A luta continua!
Bila kusahau kumiliki ghala ya silaha kwaajili ya kuulia Tembo wetu ili wavune pembepamoja na kumiliki kadi mbilimbili za vyama vya siasa
Ben Saanane mkuu wewe si Masalia? au siku hizi Mshumbusi kashakukubali? Maana ZZK ni mshkaji wako ila ni adui yao kwa kupenda kusimamia ukweli....
Bila kusahau kumiliki ghala ya silaha kwaajili ya kuulia Tembo wetu ili wavune pembe