CHADEMA kujitowa UKAWA

CHADEMA kujitowa UKAWA

TURUFUDUME

Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
70
Reaction score
39
Muda wowote kuanzia sasa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kitajitowa kwenye umoja wa katiba ya wananchi Ukawa, hii imekuja baada ya chama hicho kulazimisha lazima katibu mkuu wake ateuliwe kuwa mhombea urais ata kwa nguvu japo hakubaliki kwenye umoja huo, alionielrza hayo amenambia km chaguo la umoja huo ni pr lipumba kwani anauzika sana wala hana kashfa zaid ya sifa mzuri kitaifa na kimataifa tafauti na dk salaa ambae analipwa mpaka leo mshahara km wabunge na chama chake kufidia alioocha kugombea ubunge.
 
lipumba juuu nje ya hapo ukawa hauna mwitikio kwa audience
 
Acha umbea ww wakiume
maliza yenu.kwanza
 
Muda wowote kuanzia sasa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kitajitowa kwenye umoja wa katiba ya wananchi Ukawa, hii imekuja baada ya chama hicho kulazimisha lazima katibu mkuu wake ateuliwe kuwa mhombea urais ata kwa nguvu japo hakubaliki kwenye umoja huo, alionielrza hayo amenambia km chaguo la umoja huo ni pr lipumba kwani anauzika sana wala hana kashfa zaid ya sifa mzuri kitaifa na kimataifa tafauti na dk salaa ambae analipwa mpaka leo mshahara km wabunge na chama chake kufidia alioocha kugombea ubunge.
Duh! Kwahiyo kashifa ni kulipwa mshahara wa ubunge?!
 
Acha bangi za mchana kweupe. Wajitoe wakati Dr. Slaa kesha pitishwa kuwa mgombea wa UKAWA.
 
Watumie akili ya kawaida tu na tusijitoe ufahamu kiasi hicho. Lipumba ana uzika maeneo machache tu ya Tanga, Pwani na Mtwara. Na hata matokeo ya serikali za mitaa inaonyesha overall Cuf ilishindwa na CDM . Vile vile Uchaguzi wa mwaka 2010 Lipumba aliachwa mbali na Dr. Slaa. Uprofesa hauwezi kuongoza nchi akubali kuwa makamu wa rais Slaa agombee urais. Mbona kule zanzibar Chadema wamewaachia CUF wakamchagua Maalim Seif kwa amani iweze anataka kote kote. Hizi ni vurugu zisizo za msingi. Kuna uwezekano CCM wameshamnunua ili kura za upinzani zigawanyike ili wao wapete.
 
Usitulishe sumu!!! Ulikuwepo kwenye hicho kikao ukasikia kuwa wamelazimisha dr. Slaa ateuliwe?? Acha kutuzingua na habari zako za vichochoroni!!
 
wewe sasa hivi ni saa kumi na mbili jioni sio usiku wa manane.
usirudie kuota jioni.
 
Mambo mengine hata ukimwambia mwehu hakuelewi kabisa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom