Ha, ha ha. Bavicha kwa ku panic. Sijui nani huwa anawaazima Kompyuta yake
1-Hebu tudadavulie una maana gani huko kwenye kolezo.Muda wowote kuanzia sasa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kitajitowa kwenye umoja wa katiba ya wananchi Ukawa, hii imekuja baada ya chama hicho kulazimisha lazima katibu mkuu wake ateuliwe kuwa mhombea urais ata kwa nguvu japo hakubaliki kwenye umoja huo, alionielrza hayo amenambia km chaguo la umoja huo ni pr lipumba kwani anauzika sana wala hana kashfa zaid ya sifa mzuri kitaifa na kimataifa tafauti na dk salaa ambae analipwa mpaka leo mshahara km wabunge na chama chake kufidia alioocha kugombea ubunge.
eLete yako iliopasi, Nakwambia UKAWA wamekataa " KUFUMBUWA NGE WAKAFUMBATA TANDU" KUIACHA CCM WAKAIKUMBATIA CHADEMA PUNDA YULE YULE TAFAUTI SOJI TU.
Muda wowote kuanzia sasa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kitajitowa kwenye umoja wa katiba ya wananchi Ukawa, hii imekuja baada ya chama hicho kulazimisha lazima katibu mkuu wake ateuliwe kuwa mhombea urais ata kwa nguvu japo hakubaliki kwenye umoja huo, alionielrza hayo amenambia km chaguo la umoja huo ni pr lipumba kwani anauzika sana wala hana kashfa zaid ya sifa mzuri kitaifa na kimataifa tafauti na dk salaa ambae analipwa mpaka leo mshahara km wabunge na chama chake kufidia alioocha kugombea ubunge.
eLete yako iliopasi, Nakwambia UKAWA wamekataa " KUFUMBUWA NGE WAKAFUMBATA TANDU" KUIACHA CCM WAKAIKUMBATIA CHADEMA PUNDA YULE YULE TAFAUTI SOJI TU.
Unataka kubadilisha upepo wa lowassa tujadili upuuzi wakoMuda wowote kuanzia sasa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kitajitowa kwenye umoja wa katiba ya wananchi Ukawa, hii imekuja baada ya chama hicho kulazimisha lazima katibu mkuu wake ateuliwe kuwa mhombea urais ata kwa nguvu japo hakubaliki kwenye umoja huo, alionielrza hayo amenambia km chaguo la umoja huo ni pr lipumba kwani anauzika sana wala hana kashfa zaid ya sifa mzuri kitaifa na kimataifa tafauti na dk salaa ambae analipwa mpaka leo mshahara km wabunge na chama chake kufidia alioocha kugombea ubunge.
Unatafuta wa kukufuta machozi ya dodoma,kazi mnayo mwaka huu,mtaisoma namba.MaCccccmm ,machozi ya dodoma ni mwanzo tu wa kujiandaa kisaikolojia,hakuna mwenye hati miliki na nchi hii.Ni ajabu sana kurithishana madaraka mithili ya ufalme,wtz hawako tayari.Muda wowote kuanzia sasa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kitajitowa kwenye umoja wa katiba ya wananchi Ukawa, hii imekuja baada ya chama hicho kulazimisha lazima katibu mkuu wake ateuliwe kuwa mhombea urais ata kwa nguvu japo hakubaliki kwenye umoja huo, alionielrza hayo amenambia km chaguo la umoja huo ni pr lipumba kwani anauzika sana wala hana kashfa zaid ya sifa mzuri kitaifa na kimataifa tafauti na dk salaa ambae analipwa mpaka leo mshahara km wabunge na chama chake kufidia alioocha kugombea ubunge.