respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,843
vipi mikutano ya ukawa imeishia wapi?
We tumbili Cdm usiifananishe na chochote hiki ni very very special party
Likija sualala UKAWA tunagonga kama kawa na la Chadema ndo haswaa hapo ndo nyumbani. yaani leo umeshasahau propaganda za yule TUMBO au Mwana diwani aliyesema Chadema imefutika mpaka kwenye makabrasha imebaki UKAWA wewe unaropoka ropoka tu hebu tuambie Mbona maccm yamewatenga A.C.T nanyi hampigi kelele Kima wewe
BACK TANGANYIKA