CHADEMA kuiteka Pwani

CHADEMA kuiteka Pwani

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
CHADEMA inaanza operesheni ya chopa kwa siku 2 katika maeneo mbalimbali ya majimbo yote ya Mkoa wa Pwani leo.

Operesheni hiyo itakayohusisha mikutano ya ndani na hadhara italenga ujenzi na kukagua uhai wa chama.

Itaongozwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Chama, JJ Mnyika.
 
Hakika mwaka huu hakuna rangi wataacha kuona
 
Mwendo mdundo...leo na kesho tutaeleza jinsi CCM inavyozidi kudhihirisha ilivyo irrelevant tena kupitia ziara zao wanazofanya hivi sasa ambapo itakuwa sawa na kuwakaanga kwa mafuta yao wenyewe.

Tutaonesha namna wanavyozidi kuwa irrelevant wakiendelea kufanana na Sangara wanavyokula samaki wadogo ziwani, kupitia bajeti za serikali yao mwaka huu.

Mambo mengi yatawekwa wazi namna CCM wanavyopinga mchakato wa Katiba Mpya kwa ajili ya kulinda ufisadi na mafisadi.
 
CHADEMA inaanza operesheni ya chopa kwa siku 2 katika maeneo mbalimbali ya majimbo yote ya Mkoa wa Pwani leo.

Operesheni hiyo itakayohusisha mikutano ya ndani na hadhara italenga ujenzi na kukagua uhai wa chama.

Itaongozwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Chama, JJ Mnyika.
Fedha za msaada ndiyo zishaanza kutumika hivyo?This Party is really good when it comes to bad investment and it never learns.They are becoming pathetic by the day
 
Ratiba ya leo...

1.Mhoro-RUFIJI. 2.Bungu-KIBITI. 3.Kimanzichana
-MKURANGA. 4.Msimbu-KISARAWE. 5.Chanzige -KISARAWE.
 
Nashauri bunge la bajeti likiisha kila mbunge arudi jimboni kwake akapige mikutano ya kujenga chama we dont hv time to waste.....kama mabaya ya ccm yanajulikana now tujikiti kwenye swala la how tutaondoa matatizo ya watanzania, hasa swala la maji, barabara, elimu, afya, rasilimali za nchi kutumika kwa manufaa ya wananchi hasa wa maeneo husika

Tunawasaidiaje vijana wanaokosa school fees, genge la vijana waliojaa mitaani wasiokuwa na ajira, machinga, boda boda, etc

TUNA MDA MCHACHE SANA KUELEKEA KWENYE CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA NA HICHO NDIYO KIPIMO CHETU KAMA TAASISI KUWA IMEPANDA AMA IMESHUKA NA HYO TUTAJUA BAADA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NA MATOKEO THEN NDIYO TWENDE KWENYE UCHAGUZI MKUU TUKIWA NA PICHA KAMILI WHERE WE STAND
 
  • Thanks
Reactions: Mto
Hongera sana CHADEMA kuandaa umma kwa ajili ya ukombozi na uhuru wa 2
 
Muwaeleze na wananchi Ruzuku zaidi ya milioni mia mbili kila mwezi huwa mnaipeleka wapi.
 
Muwaeleze na wananchi Ruzuku zaidi ya milioni mia mbili kila mwezi huwa mnaipeleka wapi.

Makene na jericho nyerere kufaidia matunda ya chadema kila mmoja kupewa pikipiki.maintarahamwe povu hilo.
 
Nashauri ACT-Tanzania nao wajibu mapigo.Watie maguu pale adui yao CHADEMA atakapotoa.
Wasipofanya hivi lifespan yao itakuwa ndogo kuliko ya CCJ au wataugua marasmus kama ADC.
Come on Njano5,Abokorakamo and Betlehem,pick this wonderful advise.
 
Muwaeleze na wananchi Ruzuku zaidi ya milioni mia mbili kila mwezi huwa mnaipeleka wapi.

Kama hutaokota makopo mwaka huu basi lazima upange kwa muda pale milembe maana akiri zinaenda mbio zaidi ya uwezo wako wa kufikiri

Wenzio waliyaona yale mapikipiki, maford huko nyuma na vinginevyo au unafikiri viliteremshwa tu toka mbinguni au unadhani Chadema ni Mafisadi kama maccm kiasi wanaficha vyanzo vya mapato yaliyowezesha kununuliwa kwa vifaa hivyo, umechemsha mkuu

BACK TANGANYIKA
 
Mkuu zile FORD tulipewa msaada na chama rafiki cha DENMARK kwa ajili ya "kukomboa" nchi.
 
Kesho utasikia nacho kinape kinaiga na kinana wake
Vitaita waandishi kujifanya nao wanazindua pwani
 
Fedha za msaada ndiyo zishaanza kutumika hivyo?This Party is really good when it comes to bad investment and it never learns.They are becoming pathetic by the day

Jamaa kiboko kweli huyu,naona kuna watu wana vibanda vya kudumu humu ndani imagine nimejoin hii forumn back in 2012 lakini sijaposts au kucomment kama huyu jamaa who is only 5months old!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Join Date : 6th January 2014
Posts : 1,153
Rep Power : 659
Likes Received480
Likes Given0
 
CHAMA CHA SIASA ni MABARABARANI NA MAJUKWAANI , SAFI SANA CDM MUNGU AWALINDE .
 
Back
Top Bottom