Baada ya lema kuona umaarufu wake umeporomoka,ameamua kurudi kwenye maandamano,na bado amepata majinga ya kushika masikio yamuunge mkono kuandamana,ama kweli,majinga ndiyo yaliwayo,haya kawanunulie chupa za gongo kesho ili uwakoleze vizuri ,maana rais wenu slaa anasema atawahalalishia gongo kuwa kinywaji halali,sijui hiyo theorojia aliisoma wapi.