KIJOME
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 3,084
- 733
Basi subiri zamu yako ikuzungukie nawe umtese sabas.
Hatulipi mateso kwa mateso,ila nafsi yake itamtesa kama aliyekuwa bosi wake mchimbi anaenda kutubu makaburini...
Basi subiri zamu yako ikuzungukie nawe umtese sabas.
Haya mandamano wanafanya kumlaani lema au kuilaani chadema mbona waajabu sana hawa watu vurugu wafanye wao halafu tena waandamane wao lema bana.
Haya mandamano wanafanya kumlaani lema au kuilaani chadema mbona waajabu sana hawa watu vurugu wafanye wao halafu tena waandamane wao lema bana.
Watafanya maandamano kwenye barabara zilizojengwa na CCM au watapita porini?
Nimemsikia msemaji/kamanda wa polisi wa Arusha asubuhi kwenye kipindi cha Nipashe (radio One) akiongelea suala hili na imenisikitisha sana.Inafika mahali uvumilivu unakua mgumu hasa matendo haya ya kinyama yanapoendelea kufumbiwa macho kwaajili ya maslahi ya wachache. Huu ni ubaguzi wa waziwazi kwa upande wa pili,hivi inamaana ingekua ni ccm wanafanyiwa mambo hayo ya kikatili wangenyamaza kweli? Nina hakika wangeshashikisha watu adabu. Sasa kwanini washindwe kuzuia haya ya mambo ya ajabu yafanywayo na watu wao!! Ama ndo tuamini kwamba machafuko yanayoendlea kuna mkono wa ccm??? Haya mambo mnayoyafanya yana mwisho jamani
Tena mwisho wake ni kifo cha cdm.
''Juzi mfuasi wetu amekatwa panga kichwani na kufyekwa vidole.
Nimemsikia msemaji/kamanda wa polisi wa Arusha asubuhi kwenye kipindi cha Nipashe (radio One) akiongelea suala hili na imenisikitisha sana.
Kwa mtu aliyefuatilia matukio ya Arusha bila kujali itikadi atakuwa anaelewa kuwa haya maandamano yana logic, na inaelekea hawa watu (ccm, polisi, msajili wa vyama nk) wanawachokonoa cdm ili wakifanya lolote ipatikane sababu ya kuvuruga uchaguzi ambao wanajua uwezekano wa ccm kushinda ni mdogo sana.
Hitimisho langu limejikita kwanye uelewa mdogo wa kuchanganua mambo yanayohusu mustakabali wa nchi na wananchi kwa watendaji wetu bila kujua kuwa matatizo mengi ya nchi zetu hayakuumbwa bali yametengenezwa na watu wa aina hii. Ninaamini ukifuatilia wanaopinga haya maandamano zaidi ya 80% ajira zao zitakuwa zilipatikana kiutata!
Haya mandamano wanafanya kumlaani lema au kuilaani chadema mbona waajabu sana hawa watu vurugu wafanye wao halafu tena waandamane wao lema bana.
Watafanya maandamano kwenye barabara zilizojengwa na CCM au watapita porini?
Rpc rco wamewekwa hapo ni wizi wote ni wala rushwa wakubwa kwanini arusha panakuwa hivi waondolewe hawa mafisadi tu wezi hasa nyanda tco mwizi muaji mkubwa
Watafanya maandamano kwenye barabara zilizojengwa na CCM au watapita porini?