CHADEMA kufanya maandamano ya amani tar 03/09/2009

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
-Dhima halisi ya maandamano ni ''mshikamano ndani ya chama''
-Maandamano yataanzia ofisi zao kuu kinondoni na kuishia mbezi beach
-Watakaoongoza maandamano:
M/Kiti Ndugu Mbowe
Katibu Mkuu Dk Slaa
Naibu katibu mkuu Mh Zitto Zuberi Kabwe

SOURCE:Nimeasikia wakitangaza kwa gari na spika nikiwa Morroko-traffic lights

WITO WANGU:Wakuu tulioko Dar na wanachama wa Chadema tukutane hapo,sio blah blah za keyboards tu.ukiwa maandamanoni gonga hapa +255774207300 ili nithibitishe kama wewe ni mutu ya action

KARIBUNI SANA JAMANI!naomba mkumbuke kuja na kadi zenu
 
Nimeamini kuwa kuna ukaribu/uhusiano/umoja/ushirikiano kati ya Chadema na JF
 
Baba mkwe na wazee wanoko wenzie karuhusu kufanyika maandamano?
 
karibuni sana jamani!
Ningependa kukutana na wana jf siku ya kesho
 
Nimeamini kuwa kuna ukaribu/uhusiano/umoja/ushirikiano kati ya Chadema na JF

kawaida sana mkuu!chedema ndio chama chetu vijana,taifa la kesho,marais wa kesho,mawaziri wa kesho.

we kama umetarget uongozi chukua kadi yako kesho.

anyways toa thenksi basi kwa 'useful post' usibane
 
aaah wapi! muulize Zitto
 
aaah wapi! muulize Zitto
kwa iyo unabisha?
wakati mwingine ni vigumu sana kujadili jambo na wapambe wa zitto.yeye amekubali ''kunata na biti'',lakini wapambe wanabisha!

sasa njoo kesho umuone atakuwa front-liner
 
kawaida sana mkuu!chedema ndio chama chetu vijana,taifa la kesho,marais wa kesho,mawaziri wa kesho.

we kama umetarget uongozi chukua kadi yako kesho.

anyways toa thenksi basi kwa 'useful post' usibane

Teh teh teh teh labda vijana wa makao makuu chadema
 
kawaida sana mkuu!chedema ndio chama chetu vijana,taifa la kesho,marais wa kesho,mawaziri wa kesho.

we kama umetarget uongozi chukua kadi yako kesho.

anyways toa thenksi basi kwa 'useful post' usibane

Kwi kwi kwi....si mpaka ukubaliwe na Wasee waasisi wa chama. Kama hauko kwenye circle ya baba mkwe umekwisha!
Na vijana ni taifa la leo si kesho!
 
-Dhima halisi ya maandamano ni ''mshikamano ndani ya chama''
-Maandamano yataanzia ofisi zao kuu kinondoni na kuishia mbezi beach
-Watakaoongoza maandamano:
M/Kiti Ndugu Mbowe
Katibu Mkuu Dk Slaa
Naibu katibu mkuu Mh Zitto Zuberi Kabwe

SOURCE:Nimeasikia wakitangaza kwa gari na spika nikiwa Morroko-traffic lights

WITO WANGU:Wakuu tulioko Dar na wanachama wa Chadema tukutane hapo,sio blah blah za keyboards tu.ukiwa maandamanoni gonga hapa +255774207300 ili nithibitishe kama wewe ni mutu ya action

KARIBUNI SANA JAMANI!naomba mkumbuke kuja na kadi zenu

Mie sina kadi na nataka kujoin maandamano inakuaje?
 
kwa iyo unabisha?
wakati mwingine ni vigumu sana kujadili jambo na wapambe wa zitto.yeye amekubali ''kunata na biti'',lakini wapambe wanabisha!

sasa njoo kesho umuone atakuwa front-liner

Kama angekuwa amekubali, msingeendelea kumshambulia kwamba ametoa rushwa ili kijana wake mbunge mtarajiwa wa kigoma kusini David Kafulia ashinde uenyekiti wa BAVICHA.

kama amekubali asingepinga uamuzi wa Dr. slaa kutotangaza matokeo ya mshindi wa uchaguzi wa bavicha na kuuahirisha hadi baada ya miezi sita.

kilichotokea ni kwamba mmewatumia "wazee wa busara" kumnyamazisha.
 
Wale wanafiki na wanao tumia keyboard kuponda naamini hawatajitokeza kwani litakuwa pigo kwao kuona Mbunge mtarajiwa wa 2010 Zitto yupo mbele akihamasisha.
 
Woote hao kina masatu na wenzake ni wana ccm (waliofisadi nchi hii tokea enzi hizo) kwa hiyo usitegee sana kuwa watakuwa na neno lolote positive kuhusu Chadema.
 
-Dhima halisi ya maandamano ni ''mshikamano ndani ya chama''
-Maandamano yataanzia ofisi zao kuu kinondoni na kuishia mbezi beach
-Watakaoongoza maandamano:
M/Kiti Ndugu Mbowe
Katibu Mkuu Dk Slaa
Naibu katibu mkuu Mh Zitto Zuberi Kabwe

SOURCE:Nimeasikia wakitangaza kwa gari na spika nikiwa Morroko-traffic lights

WITO WANGU:Wakuu tulioko Dar na wanachama wa Chadema tukutane hapo,sio blah blah za keyboards tu.ukiwa maandamanoni gonga hapa +255774207300 ili nithibitishe kama wewe ni mutu ya action

KARIBUNI SANA JAMANI!naomba mkumbuke kuja na kadi zenu
Nitajitahidi niwepo. Niko kilometa 5000 toka Dar ilipo lakini ni kitu ya muhimu kwa mshikamano wetu aiseeeee.
Namkaribisha na junius, mwiba na mpaka kieleweke, karibuni tujenge mshikamano au vipi?
 
wakuu woote karibuni sana.hata kama huna kadi we njoo tu.jaribu kuandaa ''kifunga uchumba'' upate kadi yako
 
Baba mkwe na wazee wanoko wenzie karuhusu kufanyika maandamano?

Ngalao umenipa sababu ya kuvunja mbavu asubuhi hii. Tuutane kwnye maandamano maana hata sisi tusiowanachama tunathamini umoja wao.....ni muhimu kwa watanzania lakini inapaswa uwe wa kweli na sio hadaa...

omarilyas
 
Nitajitahidi niwepo. Niko kilometa 5000 toka Dar ilipo lakini ni kitu ya muhimu kwa mshikamano wetu aiseeeee.
Namkaribisha na junius, mwiba na mpaka kieleweke, karibuni tujenge mshikamano au vipi?
Asante kwakuahidi kuja, maana ni lazima tuendeleze umoja wetu, safari bado inaendelea, baada ya rabsha za hapa na pale, tunamambo mengi mazuri yanakuja, waungwana wote , tuipendayo Tanzania CHADEMA ndio kimbilio.
Mafisadi wanafadhaika huku wakisubiri kuona nmwisho wa chama hiki , lakini daima hii ni taasisi katika maana hasa. inasimama kama taasisi makini, kwa maslahi ya Taifa zima.
CHADEMA MSHIKAMANO DAIMA.
 
sasa mbona muda ujaweka wa kuanza hayo maandamano, na yashapata kibali kutoka kwa KOVA hayo maandamano maana mhh isije tukifika Moroko tu haya tawanyika aisee!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom