CHADEMA kufanya maandamano ya amani tar 03/09/2009

-Dhima halisi ya maandamano ni ''mshikamano ndani ya chama''
-Maandamano yataanzia ofisi zao kuu kinondoni na kuishia mbezi beach
-Watakaoongoza maandamano:
M/Kiti Ndugu Mbowe
Katibu Mkuu Dk Slaa
Naibu katibu mkuu Mh Zitto Zuberi Kabwe

SOURCE:Nimeasikia wakitangaza kwa gari na spika nikiwa Morroko-traffic lights

WITO WANGU:Wakuu tulioko Dar na wanachama wa Chadema tukutane hapo,sio blah blah za keyboards tu.ukiwa maandamanoni gonga hapa +255774207300 ili nithibitishe kama wewe ni mutu ya action

KARIBUNI SANA JAMANI!naomba mkumbuke kuja na kadi zenu

Haya maandamano siwezi kushiriki kwa sababu itakuwa kama kubariki ubakaji mkubwa wa demokrasia walioufanya CHADEMA;kama kuna maandamamno ya kulaani ubabaishaji mkubwa uliofanywa na akina Mtei kumbeba Mbowe awe mgombea pekee nipo tayari kushiriki hata leo!
 
Mkwe shikamoo,

Kwa hili tunakubaliana. Watu wanataka maendeleo, wanataka demokrasia na wala sio haya maandamano yasiyo na kichwa wala miguu.

Kumbuka kauli mbiu ya Kyela: Tunataka maendeleo zaidi na wala sio maandamano zaidi.
 
Maandamano yamefana; wameruhusiwa kutumia barabara ya old bagamoyo; nimewaona tu wakiwa na msururu wa magari mengi kuelekea mbezi naona; sijaona mantiki ya kwenda mbezi anyway; lakini kwa kweli chadema bwana ni wabunifu; wako in anyway aggressive; matatizo hakosi asiyekuwa nayo ila kwa dhati nahisi mbadala wa CCM lazima awe kama chadema angalao; wabunifu na aggressive; naona sasa wanaenda kushikamana na kutangazwa rasmi viongozi wao wapya ukiacha walioachwa; wanajamii kila mmoja ana mapenzi yake humu; wengine ni wapiga debe; wengine wafurukutwa; wengine wahangaikaji tu; wengine mafisadi wa siasa; wengine wapambe tu; wengine bendera fuata upepo wa vyama mbali mbali; ila niseme; Tanzania inahitaji mabadiliko; na haya yanawezekana kama tukipata mahala pa kuanzia; nimejifunza kuwa; we are very poor jamani; so much poor; very extra poorest in africa; but we have alot of resources that no country has; na presida wetu alishasema akiwa ufaransa hajui kwa nini tu maskini; means waliingia bila utafiti wafanye nini kuutokomeza is why umaskini umeongezeka ni 4yrs zaidi; shime tufanye mabadiliko ya kiuongozi ili watawala wabaki wakatawale familia zao si nchi
 
asante kwa taarifa mkuu , hii ilikua ni muhimu sana kwetu.
CHADEMA DAIMA MBELE
 
-Dhima halisi ya maandamano ni ''mshikamano ndani ya chama''
-Maandamano yataanzia ofisi zao kuu kinondoni na kuishia mbezi beach
-Watakaoongoza maandamano:
M/Kiti Ndugu Mbowe
Katibu Mkuu Dk Slaa
Naibu katibu mkuu Mh Zitto Zuberi Kabwe

SOURCE:Nimeasikia wakitangaza kwa gari na spika nikiwa Morroko-traffic lights

WITO WANGU:Wakuu tulioko Dar na wanachama wa Chadema tukutane hapo,sio blah blah za keyboards tu.ukiwa maandamanoni gonga hapa +255774207300 ili nithibitishe kama wewe ni mutu ya action

KARIBUNI SANA JAMANI!naomba mkumbuke kuja na kadi zenu

Unataka kukusanya namba zetu, halafu iweje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom