jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,533
Nianze kwa kusema RIP Mzee wetu Ndesamburo...Mwanga wa Milele uangaziwe.
Nikijikita kwenye hoja...inasemekana Meya wa jiji la Arusha alikutana na marehemu mzee Ndesamburo kwa ajili ya kukusanya rambirambi za msiba wa Lucky Vincent.
Ni majuma takribani matatu hivi toka mkuu wa mkoa asitishe rasmi zoezi la ukusanyaji wa rambirambi kwa ajili ya tukio hilo.Hii ni amri halali ya kiongozi wa mkoa na anayekiuka anaweza kuadhibiwa.
Naamini mkuu wa mkoa alisitisha zoezi hili ili kudhibiti wajanja wanaoeeza kutumia fursa hii ya msiba wa kitaifa au kimkoa kwa manufaa yao binafsi yakiwemo ya kifedha na kisiasa.
Sasa basi kwa kuwa ni wazi Meya au Chadema alikuwa kwenye muendelezo wa kukusanya rambirambi...KIMYAKIMYA ni wazi amekiuka kwa makusudi amri na maelelkezo halali na pia kuna uwezekano anafanya hivyo kujikusanyia fedha kwa maslahi zaidi ya wafiwa.
Je, ni lini sasa chadema watasitisha ukusanyaji huu wa rambirambi wa chini ya kapeti na ni lini basi watatutangazia kiasi walichokusanya na kukiwasilisha kwa walengwa?
Kiitifaki...je uwepo wa Mbowe pale uwanjani Shekh Amri abed na ahadi ya rambirambi za chadema ulimasnisha haya yanayofanywa na meya?
Je ni makada wangapi wa chadema wanaendelea kukusanya hizo rambirambi na ni nani anayeratibu?