CHADEMA kuanza mchakato wa Katiba Mpya

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema kinaanza mchakato wa kudai katiba mpya katiba pendekezwa ya wananchi kwani ndio suluhu ya mambo yote yanayoendelea na figisufigisu zilizoendelea huko nyuma hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA huko Mkuranga Pwani kwenye Harambe ya Ujenzi wa ofisi ya CHADEMA.

IMG-20161008-WA0052.jpg


Katibu Mkuu Dkt. Mashinji kwa niaba ya ofisi yake amechangia sh. 3,000,000 (milioni 3) cash kuchangia ujenzi wa ofisi ya Chadema wilaya ya Mkuranga.

Jumla ya ahadi ya fedha katika harambee ya kuchangia ofisi ya Chadema wilaya ya Mkuranga ni Tsh. 9,900,000

Pesa Taslim (Cash) 4,700,000
 
Ameagiza? duh nafikiri hii sio ishu ya kukaa ofisini na kuagiza, ni ishu ya kuzunguka na kuhimiza
Anyways mi jambo la muhimu kwa chadema nadhani wangekuwa wanapita kwa madiwani wao na mameya wabunge na kuwapa na kuwahimiza kufanya miradi ya maendeleo ili 2020 wawe na jambo la kuobyesha wananchi wao ni tofauti na ccm
 
Back
Top Bottom