CHADEMA kuangukia pua Igunga.....!

CHADEMA kuangukia pua Igunga.....!

kwa muundo huu wanaoenda nao chadema, itafikia pahali naona hata bungeni wanaweza kumkwida mama Anna spika wabunge/

ndugu zetu utawala wa sheria mnaujua na mnafahamu maana yake, kwa nn mnataka kulipeleka taifa pabaya kwa maslahi enu wachache?
vyema
ila nnaamini kwa mliyoyafanya mmewapa nafasi watanzania kukujueni vyeama, na nnaamini hawatofanya tena makosa ya kukupeni kiburi hiki mlichonacho

Naombeni cv ya maji marefuuuu....Ova!

Mganga wa kienyeji, mfanyibiashara, alishawahi kutuhumiwa kwa wizi wakati akifanya kazi kama shamba boi kwenye nyumba ya masista Korogwe alisalimika na kesi kwasababu kanisa katoliki halikurusu masista wake kutoa ushahidi mahakamani baada ya misukosuko hiyo Prof. Maji Marefu alibadilika na kuwa mwadilifu kwa jamii iliyomzunguka, amewasaidia sana wakazi wengi wa Korogwe na hayo ndiyo moja ya sifa zilizomfanya Maji Marefu ashinde ubunge. Si rahisi kwa mkazi wa Karagwe kujua wasifu wa Maji Marefu.
Chama
Gongo la Mboto DSM

cHAMA CHETU CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO BADO HAKIJAWA TAYARI KWA USHINDI IGUNGA KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA MGOMBEA WETU WA KIELIMU NA KUJENGA HOJA UKILINGANISHA NA YULE WA MAGAMBA...........!

magamba si watadondokea masaburi sasa

Huyo mgombea wenu kwanza mwambieni akaoge, jamaa mchafu mchafu tu. sijui mwalimu gani huyu ambaye yuko hovyo hovyo.

Yupo mwingine mbunge wao anaitwa Livingstone Lusinde,huyu kaishia darasa la NNE tu

ila akikaa na wabunge wa ccm anauwezo zaidi ya kujenga hoja zaidi kama wasira hakuna kitu kabisa pale

wewe wala si CDM unatusuhuza tu hapa na hao kina Dr. Baba nambamoja wanajenga hoja gani?

elimu siyo tatizo, je hao wanaojiita wenye elimu tena waliosoma vyuo vinavyoheshimika hapa nchini wanalisaidiaje taifa?

cHAMA CHETU CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO BADO HAKIJAWA TAYARI KWA USHINDI IGUNGA KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA MGOMBEA WETU WA KIELIMU NA KUJENGA HOJA UKILINGANISHA NA YULE WA MAGAMBA...........!
Kwanini tumpeleke mwizi wa madini bungeni? Kwanini wagombea wa CCM kama si mfanyabiashara basi ana nafasi kubwa serikalini kama makamishina wa madini huko ndiko wanakopitishia utapeli wao, kwani ubunge unalipa kuliko ukamishina wa madini?

cHAMA CHETU CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO BADO HAKIJAWA TAYARI KWA USHINDI IGUNGA KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA MGOMBEA WETU WA KIELIMU NA KUJENGA HOJA UKILINGANISHA NA YULE WA MAGAMBA...........!
jaribuni kusoma katiaba ya nchi kabla ya kutoa post. hatuitaji maprofesa kuwa bungeni kwani hayo ni matumizi mabaya ya human resource:

katiba ya jamhuri ya muungano wa tanznia ibara 67(1)a,b,c​
.-(1) Bila ya kuathiri masharti yaliyomo katika ibara hii, mtuyeyote atakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwakuwa Mbunge endapo-(a) ni raia wa Jamhuri ya Muungano aliyetimiza umri wamiaka ishirini na moja, na ambaye anajua kusoma nakuandika katika Kiswahili au Kiingereza;(b) ni mwanachama na ni mgombea aliyependekezwa nachama cha siasa;(c) katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe yaUchaguzi hakuwahi kutiwa hatiani katika mahakama
yoyote kwa kosa lolote la kukwepa kulipa kodi yoyote

Yupo mwingine mbunge wao anaitwa Livingstone Lusinde,huyu kaishia darasa la NNE tu

Lukuvi=FISADI WA ELIMU mwalimu wa UPE!

Mbona hataki kumuelewa mtoa mada? Anasema mgombea wa CHADEMA anawezo mdogo sana wa kutoa hoja, ukilinganisha na mgombea wa CCM. Wana-CDM toeni hoja, siyo KUTUKANA na KUCHOMA MASOKO

CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE. Mwendo mdundo. Tena huyo DC bahati yake sikuwepo, ningejiolea hapo hapo, maana hana mume.

Huo sio ugreat thinker naona kabla ya kuandika umefikiri au ni wale mashabiki wavuta b*ngi?

cHAMA CHETU CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO BADO HAKIJAWA TAYARI KWA USHINDI IGUNGA KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA MGOMBEA WETU WA KIELIMU NA KUJENGA HOJA UKILINGANISHA NA YULE WA MAGAMBA...........!
Wewe una pepo la jalalani na mzuka wa bendela ya kijani na ubongo wako una kifafa kama cha Napzo.

cHAMA CHETU CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO BADO HAKIJAWA TAYARI KWA USHINDI IGUNGA KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA MGOMBEA WETU WA KIELIMU NA KUJENGA HOJA UKILINGANISHA NA YULE WA MAGAMBA...........!
Ubongo wako ni MAVI tuu.

cHAMA CHETU CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO BADO HAKIJAWA TAYARI KWA USHINDI IGUNGA KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA MGOMBEA WETU WA KIELIMU NA KUJENGA HOJA UKILINGANISHA NA YULE WA MAGAMBA...........!

Hakiwezi kuwa chama chako kwa hoja hii ya kipuuzi, njoo kivingine

Mbona hataki kumuelewa mtoa mada? Anasema mgombea wa CHADEMA anawezo mdogo sana wa kutoa hoja, ukilinganisha na mgombea wa CCM. Wana-CDM toeni hoja, siyo KUTUKANA na KUCHOMA MASOKO
Join Date : 5th May 2009,Posts : 16, Rep Power : 0 Kama kuna hoja tujuze kuwa nini toka 2009 hadi sasa ndipo unaibuka. Au umeforge registration? Huyo mtoa hoja kama ujuavyo si mwana CDM kama ulivyo wewe. Tafuteni kingine waacheni wana Igunga, au mmesahau hoja za prof maji marefu?

Back
Top Bottom