CHADEMA kuangukia pua Igunga.....!

CHADEMA kuangukia pua Igunga.....!

&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Yupo mwingine mbunge wao anaitwa Livingstone Lusinde,huyu kaishia darasa la NNE tu
bora hata huyo livingstone lusinde kaishia darasa la nne lakini kuna huyu Deo Sanga wa ini darasa la pili
 
Magonjwa mengine inaonekana hayana tiba..Mgonjwa arudi nyumbani akafe tuu...maana to treatment no....ukiona utumbo kama huu basi tena ndiyo Israel anamshukia mgonjwa
 
Mtoa mada anaonekana ni mwehu .anaitaji kuonana na dr .kijana 2naitaji maendeleo hatakama yateletwa na wasiosoma nasi ufisadi wa magamba
 
chadema wameshaanza kutapatapa na kuamua kupiga viongozi wa serikali kama vile dc badala ya kuendesha kampeni za kistaarabu. Mikutano yao ambayo haina tija imekosa wahudhuriaji katika maeneo ya vijijini.

Wewe huko kijiji gani hapa Igunga maana unasema usilollijua mie naona MAGAMBA yanawasumbua
 
Kama CCM kigezo ni elimu mbona Kiristan Mzindakaya alikua ni kondakta wa mabasi lakini na ukuu wa mkoa alipewa? Muanzisha mada nenda kafikiri halafu urudi tena.
 
Yaani wewe hizi ndo post uliona ....unadhani propoganda za jinsi hii zinafaa kugeuza mwelekeo wa mambo?
cHAMA CHETU CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO BADO HAKIJAWA TAYARI KWA USHINDI IGUNGA KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA MGOMBEA WETU WA KIELIMU NA KUJENGA HOJA UKILINGANISHA NA YULE WA MAGAMBA...........!
 
chadema wameshaanza kutapatapa na kuamua kupiga viongozi wa serikali kama vile dc badala ya kuendesha kampeni za kistaarabu. Mikutano yao ambayo haina tija imekosa wahudhuriaji katika maeneo ya vijijini.
Tukisema serikali iko likizo mnasema tunawazushia, Sasa hii ya kusema serikali imepigwa inaingia kweli akilini sio aibu hii hata kusema tu?
 
Inaonyesha labda anauhusiano wa kimanasaba na watu wa kanda ile yetu..maana uwezo wa kujieleza hana lakini amechaguliwa na chademu...maana chademu hako kagonjwa cha kupendelea ni criteria muhimu.
 
chadema wameshaanza kutapatapa na kuamua kupiga viongozi wa serikali kama vile dc badala ya kuendesha kampeni za kistaarabu. Mikutano yao ambayo haina tija imekosa wahudhuriaji katika maeneo ya vijijini.

CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE. Mwendo mdundo. Tena huyo DC bahati yake sikuwepo, ningejiolea hapo hapo, maana hana mume.
 
Kama CCM kigezo ni elimu mbona Kiristan Mzindakaya alikua ni kondakta wa mabasi lakini na ukuu wa mkoa alipewa? Muanzisha mada nenda kafikiri halafu urudi tena.

Ndallo,

Huyu hajui analosema, ni Masaburu tupu. MWANTUMU MAHIZA anaelimu gani?????? serikali ya JK bure kabisa.
 
Ndallo,

Huyu hajui analosema, ni Masaburu tupu. MWANTUMU MAHIZA anaelimu gani?????? serikali ya JK bure kabisa.

Mwantumu anampita kwa mbali sana Mbowe...
Mwantumu anampita kwa mbali sana vilaza wa chademu
 
cHAMA CHETU CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO BADO HAKIJAWA TAYARI KWA USHINDI IGUNGA KUTOKANA NA UWEZO MDOGO WA MGOMBEA WETU WA KIELIMU NA KUJENGA HOJA UKILINGANISHA NA YULE WA MAGAMBA...........!
<br />
<br />
maji marefu ana elimu gani?
 
Naomba hii ishu tuichikulie siriaz zaidi...
 
Back
Top Bottom