Kumbe virungu tu Leteni hayo mabomu ya Gongo la Mboto...Police arusha wamejiandaa kuwakabili wafuasi wa chadema wanaotaka kwenda kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wao leo
Nawasihi wafuasi wa CDM wasienda maana virungu vya police vitawaumiza
viongozi na wanachama wa chadema watapanda kizimbani kujibu mashitaka yao...tutahabalishana kitakacho kuwa kinaendelea
Safi kabisa wana CDM Arusha hao TBC wakipiga picha Lema anacheka wanageuza na kusema alikuwa anamcheka Hakimu hawana maana hao waende wakawahoji magamba yao na mpiga tarumbeta la CCM Nape naona Makamba amepata mrithi wa kulipuliza domo la bata, endelea kutubaharisha.naona dr slaa, mbowe, lema, madiwani wa cdm na wapenzi wa cdm wako tayari kabisa kufatia kesi..kulitokea kutokuelewana kati ya wapenzi wa cdm na mwandishi wa tbc, wakimtaka aache kufanya mahojiano na lema wakidai ni wachakachuaji kama wanataka taarifa wakaandike za jk hata wakitaka wamuonyeshe hata akiwa chooni
Safi kabisa wana CDM Arusha hao TBC wakipiga picha Lema anacheka wanageuza na kusema alikuwa anamcheka Hakimu hawana maana hao waende wakawahoji magamba yao na mpiga tarumbeta la CCM Nape naona Makamba amepata mrithi wa kulipuliza domo la bata, endelea kutubaharisha.
lema na John bayo ndiyo waliwa tuliza kwa kuwaambia hawa wa mikan hawachaka chui, taarifa hutuma mkao makuu na huko ndiko huchachua
Sawa mkuu tuko pamoja sana hadi hapo.