CHADEMA Kiwira yafanya kufuru tena

CHADEMA Kiwira yafanya kufuru tena

kilght

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
635
Reaction score
182
CHADEMA kiwira yafanya kufulu kwa kuanza amsha amsha kwa kupiga mikutano kijiji kwa kijiji na leo wamefanya mkutano wenye hadhi ya wilaya kwa kupata mwitikio mkubwa wa watu
 
chadema kiwira yafanya kufulu kwa kuanza amsha amsha kwa kupiga mikutano kijiji kwa kijiji na leo wamefanya mkutano wenye hadhi ya wilaya kwa kupata mwitikio mkubwa wa watu

Hata mimi siku sina kazi na nikiona jirani kuna mkutano wa chadema huwa naenda kuwasikiliza porojo zao.
 
huo uzushi... kwa jinsi mnavyopenda sifa lazma ungerusha na picha kukoleza umbea wako... hiyo riwaya hailipi kama ile ya act na ccm wataka kumuua dk.slaa
 
hahahahahaaa poleni saaaana kumbe huwa mnakibarua cha kuwabeba na malori sie kwetu wanakijaga na miguu yao na usafiri waooo poleni sana chama hoiii c c m
 
Hata mimi siku sina kazi na nikiona jirani kuna mkutano wa chadema huwa naenda kuwasikiliza porojo zao.

Heee..kumbe huna kazi pole sana.Sasa unaishije? Pia sisi makamanda mikutano yetu hatusombi watu na MALORI. .wanakuja na usafiri wao, wengine hutembea kwa miguu....hatusombi watu na malori kama magamba Hahaha hahaha hahaha
 
chadema kiwira yafanya kufulu kwa kuanza amsha amsha kwa kupiga mikutano kijiji kwa kijiji na leo wamefanya mkutano wenye hadhi ya wilaya kwa kupata mwitikio mkubwa wa watu

MKOA WA MBEYA tumeKUBALIANA NA WANANCHI KUFUTA KABISA CCM .
 
Mmmh..mikutano watu wengi kwenye sanduku lla kura watu zero....chadema ....
 
Hata mimi siku sina kazi na nikiona jirani kuna mkutano wa chadema huwa naenda kuwasikiliza porojo zao.

muda c mrefu Mungu atatutenganisha na viumbe jamii yanu sio binadam wa kawaida mnaokataa hadi kazi zake.
 
Back
Top Bottom