Hata mimi siku sina kazi na nikiona jirani kuna mkutano wa chadema huwa naenda kuwasikiliza porojo zao.
FAIZA MPENZI WANGU, NDIO MAANA TUNASEMA CHADEMA NI KAMA MAJI, USIPOYANYWA UTAYAOGA, USIPOYAOGA UTAFULIA NGUO, KUOSHEA VYOMBO, KUSAFISHA NYUMBA, NA MENGINEYO.
UPO MAMA? Nimefurahi kusikia kuwa unaendaga kupata habari za ukombozi!