Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 980
- 3,646
WAFUASI na Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kinondoni wamemtaka Freeman Mbowe, Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho, kutoka hadharani kueleza kama anaubariki upande wa chama hicho unaodaiwa kuzua mpasuko ndani ya chama hicho (G55), au hana baraka nao. Aidha viongozi hao wameshangazwa na ukimya wa kiongozi huyo pamoja na kutoshiriki shughuli za ujenzi wa chama.
Pia soma
Pia soma
- Pre GE2025 - Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?
- Pre GE2025 - VIDEO: Freeman Mbowe akitangaza agenda ya No reform No Elections, G55 Wanadhihirisha ule ulikuwa ni mchezo wa maigizo wa Mbowe