Elimu bure mpaka chuo kikuu? Nyie acheni utani kuna mataifa yameendelea cku nyingi lakini hili la elimu bure bado hawajafikia. Leo Tz iwe bure....hahaha. Bado sera zako mkuu hazina mashiko kwa mlalahoi na yule mkulima kule kijijini. Kajipange upya.
Jamani tumñeichoka ccm tunaomba sera zenu zinazotekelezeka tuwape kura. Ila hiyo ya elimu bure ni uongo mkubwa kabisa.
Mleta mada tuambie itikadi ya CCM ni ipi kwa sasa?watanzania bwana unamuuliza nataka kufika ubungo nafikaje??? Naye anakuuliza kwani umetoka wapi??
Shame
Vyama vingi hasa vya upinzani kikiwemo CHADEMA vinabebwa na majina ya watu hasa wale walio na umaarufu lakini ukimuuliza hata mwananchi wa kawaida nini sera ya CHADEMA kuhusu ardhi haijui,nini sera yake kuhusu elimu,afya,usalama wa taifa,polisi,kuhusu vyuo vikuu, kuhusu uwekezaji ,nishati na madini yetu, gesi hakuna hata mtu mmja anaweza kueleza watu tukaelewa ila ukitaja unamjua dk slaa au unamjua mh mbowe ama zito watakwambia ndio na ndio maana nipo CHADEMA.
My take
NCCR ilikufa kwasababu chama kilibebwa na watu na sera za chama hazikueleweka kwa wananchi kama CHADEMA hivyo Mrema alipoondoka kwa kuwa watu walifata majina na umaarufu wa kiongozi wote wakahama chama kikapungua nguvu,vilevile TLP, CUF na UDP utaona vyama sera zao hazieleweki ispokua viongzi wao ndio wananchi wanawajua.
Sasa CHADEMA wanakubalika sehemu za mijini na sababu kubwa ni vijana wengi hawana ajira na hivo kupiga kura za kuiadhibu CCM ila si kwamba wameelewa sera za chama ambacho wanakichagua ilakwakua no other choice.
Hivyo ili CHADEMA wafanye vizuri wasitumie jina la mtu au umaarufu wa mtu watangaze sera zao vijijini wananchi wakielewa sera hapo ndipo chama kitakua na nguvu na si nguvu ya soda.

Anaebisha aje nimuelekeze wabunge wengi wa chadema wamepatikana sio kwa sera bali umaarufu babu na mh zito ,mh zito aliacha jimbo lake na kwenda majimbo ya wagombeaji wengine kukampeni, hakuna mtu anaelewa sera hasa za chadema katika kumkomboa mwannchi zadi ya kusema ccm wezi mafisadi sawa tumekubali leta sera mbadala hamna. Chama makini lazima kisibebwe na watu bali sera zake. Sasa chadema kuna ugonjwa umeingia unaitwa slaaamophobia huo ni hatari sana kwani hauna dawa hivo wasipojipanga kutoa kinga ni ugonjwa hatari.