Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Upuuzi mtupu, tafuteni propaganda nyingine hizi za kizamani zimeshabuma.Lowasa ndiye chaguo la wengi
Tupo pamoja ktk timu ya ushindi ya lowasa
Upuuzi mtupu, tafuteni propaganda nyingine hizi za kizamani zimeshabuma.Lowasa ndiye chaguo la wengi
Viongozi wa 4um na viongozi wa boda boda wa mkoa wa mbeya wameamua kuhama chadema na kujiunga na ccm kutokana na mambo maovu yanayo endelea ndani ya chadema na ukawa kwa ujumla hali hyoo imekwa ikiendelea kwa muda mrefu jambo ambalo limepelekea sintofaham ya viongoz hao wa 4um na kushindwa kueshimiana kati ya viongozi wa cdm na viongoz hao wa 4um kwa kauli yao moja wamesema watahakikisha wanampigania dr, magufuli na kumnadi nyumba kwa nyumba hadi kieleweke na mwishowe kuibuka na ushindi wa kimbunga,,,, tumekuja pahala salama kabisa na sehem ya kwenda ikulu......................
Ikulu ni Lowassa tuuuuuuu
Lini umekuwa msemaji wao?
Mbinu hii ilivuja kabla, tafuteni nyingine.
Hizi Habari za kuvalishwa mamluki wa 4Umovement mbeya mbona ilishafichuka tangu juzi? Na haina impact. Na 4UMovement wa ukweli wataongea na media. SSM mnatapatapa sana. Subirini mnyolewe 25 October. Mtaomba Pooo.
siku nyingine uwe una uliza kwanza unakurupuka sana jombaa utafikiri na ww hua unaingia mwezini..!!loll
Magufuli kilichomkuta leo mbeya sijawahi ona. Misimamo iko huku bana.
jaman kuna mama ametukana kwenye gari walkua wanalumbana kati ya magufuli na lowasa nani apewe kura basi mama mmoja wa upande wa lowasa akasema hatuwez kumpa kura uncircumsized person.
Waendee tu, Sie Rais ni Lowassa tu.
Chadema Kwisha habari yao.
Wangetembezewa kichapo kama wale wa Masaburi DSM. Haisaidii. Ni kampeni za ujima sana. Hiyo staili ndiyo inaiua ssm. Mwenzenu Lowassa na Ukawa ni kampeni za kistaarabu na kisayansi na atawanyuka vibaya kwa mbali.
baba yao magufuli anaendeleza mwendo wa ku copy na ku paste, na yeye sasa hivi kwenye majukwaa anasema anauchukia umasikini kweli kweli