Viongozi wa 4um na viongozi wa boda boda wa mkoa wa mbeya wameamua kuhama chadema na kujiunga na ccm kutokana na mambo maovu yanayo endelea ndani ya chadema na ukawa kwa ujumla hali hyoo imekwa ikiendelea kwa muda mrefu jambo ambalo limepelekea sintofaham ya viongoz hao wa 4um na kushindwa kueshimiana kati ya viongozi wa cdm na viongoz hao wa 4um kwa kauli yao moja wamesema watahakikisha wanampigania dr, magufuli na kumnadi nyumba kwa nyumba hadi kieleweke na mwishowe kuibuka na ushindi wa kimbunga,,,, tumekuja pahala salama kabisa na sehem ya kwenda ikulu......................
Karibu timu kushinda na wale wanaozani MTU anajinyea na watu wa itifaki wanakubalo awe rais wapimwe akili,tu
Kwani kuna Mbeya ya wapi we mwehu kweli kweli
Viongozi wa 4um na viongozi wa boda boda wa mkoa wa mbeya wameamua kuhama chadema na kujiunga na ccm kutokana na mambo maovu yanayo endelea ndani ya chadema na ukawa kwa ujumla hali hyoo imekwa ikiendelea kwa muda mrefu jambo ambalo limepelekea sintofaham ya viongoz hao wa 4um na kushindwa kueshimiana kati ya viongozi wa cdm na viongoz hao wa 4um kwa kauli yao moja wamesema watahakikisha wanampigania dr, magufuli na kumnadi nyumba kwa nyumba hadi kieleweke na mwishowe kuibuka na ushindi wa kimbunga,,,, tumekuja pahala salama kabisa na sehem ya kwenda ikulu......................[
Sijui ni Mbeya ipi ce Mbeya tunayoijua ni hii ya leo Magufuli kukataliwa wazi wazi sasa kama hao wenye t-shirt ndio wapiga kura sawa. Lkn mie najua wana Mbeya ni hawa
Http://www.youtube.com/v/Ur6H5aEBfJg
Wewe una stahili kich...poViongozi wa 4um na viongozi wa boda boda wa mkoa wa mbeya wameamua kuhama chadema na kujiunga na ccm kutokana na mambo maovu yanayo endelea ndani ya chadema na ukawa kwa ujumla hali hyoo imekwa ikiendelea kwa muda mrefu jambo ambalo limepelekea sintofaham ya viongoz hao wa 4um na kushindwa kueshimiana kati ya viongozi wa cdm na viongoz hao wa 4um kwa kauli yao moja wamesema watahakikisha wanampigania dr, magufuli na kumnadi nyumba kwa nyumba hadi kieleweke na mwishowe kuibuka na ushindi wa kimbunga,,,, tumekuja pahala salama kabisa na sehem ya kwenda ikulu......................
We dogo tulia! Ngj Oct tukunyoeniHao wana akili wamejitambua