Mbeya ya wapi?au ya malawi?
Isee unajua tangu wakongwe LAKI si pesa MUSSA ALLAN na wengineo wahame team ya CCM Wwamesajiliwa chandimu ambao wanafikiri huku nako ni fb ndo maana kila siku wanapigwa ban.CCM byebye.
siku nyingine uwe una uliza kwanza unakurupuka sana jombaa utafikiri na ww hua unaingia mwezini..!!loll
Viongozi wa 4um na viongozi wa boda boda wa mkoa wa mbeya wameamua kuhama chadema na kujiunga na ccm kutokana na mambo maovu yanayo endelea ndani ya chadema na ukawa kwa ujumla hali hyoo imekwa ikiendelea kwa muda mrefu jambo ambalo limepelekea sintofaham ya viongoz hao wa 4um na kushindwa kueshimiana kati ya viongozi wa cdm na viongoz hao wa 4um kwa kauli yao moja wamesema watahakikisha wanampigania dr, magufuli na kumnadi nyumba kwa nyumba hadi kieleweke na mwishowe kuibuka na ushindi wa kimbunga,,,, tumekuja pahala salama kabisa na sehem ya kwenda ikulu......................

Mkuu mmaranguoriginal karibu sana kundini nafikiri sasa uko pamoja na dogo janja.Mkuu , Lowasa alipo tupo.