CHADEMA kilianzishwa kwa kufuata mfumo CCM

Mleta uzi unachokosea ni kufikiri kwamba CHADEMA kinapendwa na Watanzania walio wengi kwasababu kiko TOFAUTI kabisa na CCM.

CDM kimekuwa chama pendwa kwaWatanzania wengi, kwasababu Watanzania tulio wengi tumeichoka na kuichukia CCM kwasababu ya kukumbatia na kuendekeza UFISADI na RUSHWA.

I'm telling you, waambie CCM leo wachukue hatua kwa vitendo kukomesha rushwa na ufisadi uone kama CDM kitaendelea kupendwa na kungwa mkono na Watanzania wengi.

MCHAWI WA CCM NI CCM YENYEWE WALA SIO CDM! Vua hiyo miwani ya mbao kaka.

Mwalimu JK Nyerere aliwahi kusema hivi, kama Watanzania watashindwa kuyapata mabadiliko ndani ya CCM, basi watayatafuta mabadiliko hayo nje ya CCM. Na ndicho watanzania tulio wengi tunachofanya leo hii. Utabiri wa Nyerere unaanza kutimia sasa.
 
Mkuu unaposema kuwa CHADEMA inapendwa na watanzania wengi unatumia vigezo gani?
Na unaposema CCM inachukiwa na watanzania unatumia vigezo gani?
Nakuuliza hivi kwa sababu, Tumeshafanya chaguzi kadhaa hapa Tanzania na hiyo CHADEMA(inayopendwa) ikiwemo lakini CCM imekuwa ikiibuka na ushindi mkubwa kupitia kura za watanzania hao hao unaowasemea wewe kuwa wanaichukia CCM.
 
Vyama ni sawa na timu za mpira zina muundo sawa,uchezaji (sera) tofauti.Huwez fananisha Barcelona (cdm) na Lipuli (ccm
 
Nimekuwa nikiwafwatilia Wanachama wa CHADEMA kwa mrefu sana na nilichokigundua ni kwamba wengi wao kama SIYO wote wanaichukia sana CCM lakini wasichokijua ni kwamba chama chao cha CHADEMA kilianzishwa kwa kufwata mfumo CCM (modelled after CCM), yaani ninachomaanisha ni kwamba hakuna Chama cha Upinzani hapa TZ kinachofanana na CCM kama CHADEMA kuanzia mfumo wa Uongozi kama Mwenyekiti mpaka msemaji wa Chama ni kama CCM hata jinsi CHADEMA wanavyofanya chaguzi zao ndani ya Chama ni modell ya CCM, CCM wana UWT na CHADEMA nao wameanzisha BAWACHA, CHADEMA wana mpaka mbadala wa Chipukizi kama CCM!

Na hata ukisoma kitabu cha mmoja wa wanzilishi wa CHADEMA Bw.Mtei (from goatsherder to Governor/kuanzia mchunga mbuzi mpaka kuja kuwa Gavana wa Benki Kuu) anasema ni jinsi gani alivyotaka kuunda Chama ambacho kitakuwa ni mbadala wa CCM yaani chama ambacho ni kama CCM lkn na maboresho madogo madogo hivyo siku nyingine kama wewe ni Mwana CHADEMA na unachukia CCM tambua kwamba chama chako kimekuwa modelled after CCM hivyo CCM haiwezi kuwa mbaya kiasi hicho!

Uchaguzi CCM na CHADEMA!
View attachment 227604View attachment 227603

UWT na BAWACHA
!
View attachment 227605View attachment 227606

Wasemaji wakuu wa Chama CCm na CHADEMA!
View attachment 227608View attachment 227609

Chipukizi wa CCM na CHADEMA!

View attachment 227610View attachment 227611

Wazalendo wa CCM na CHADEMA!

View attachment 227612View attachment 227613
​

kwa sababu wote ni watanzania kuna mambo hatuwezi kuacha kufanana kabisa. Ila tofauti kubwa ya msingi ninayoiona kati ya cdm na ccm ni kwamba cdm wanatumia akili na hoja zenye mantiki, wakati ccm wanatumia nguvu na hoja za nguvu.
 
Nimekuwa nikiwafwatilia Wanachama wa CHADEMA kwa mrefu sana na nilichokigundua ni kwamba wengi wao kama SIYO wote wanaichukia sana CCM lakini wasichokijua ni kwamba chama chao cha CHADEMA kilianzishwa kwa kufwata mfumo CCM (modelled after CCM), yaani ninachomaanisha ni kwamba hakuna Chama cha Upinzani hapa TZ kinachofanana na CCM kama CHADEMA kuanzia mfumo wa Uongozi kama Mwenyekiti mpaka msemaji wa Chama ni kama CCM hata jinsi CHADEMA wanavyofanya chaguzi zao ndani ya Chama ni modell ya CCM, CCM wana UWT na CHADEMA nao wameanzisha BAWACHA, CHADEMA wana mpaka mbadala wa Chipukizi kama CCM!

Na hata ukisoma kitabu cha mmoja wa wanzilishi wa CHADEMA Bw.Mtei (from goatsherder to Governor/kuanzia mchunga mbuzi mpaka kuja kuwa Gavana wa Benki Kuu) anasema ni jinsi gani alivyotaka kuunda Chama ambacho kitakuwa ni mbadala wa CCM yaani chama ambacho ni kama CCM lkn na maboresho madogo madogo hivyo siku nyingine kama wewe ni Mwana CHADEMA na unachukia CCM tambua kwamba chama chako kimekuwa modelled after CCM hivyo CCM haiwezi kuwa mbaya kiasi hicho!

Uchaguzi CCM na CHADEMA!
View attachment 227604View attachment 227603

UWT na BAWACHA
!
View attachment 227605View attachment 227606

Wasemaji wakuu wa Chama CCm na CHADEMA!
View attachment 227608View attachment 227609

Chipukizi wa CCM na CHADEMA!

View attachment 227610View attachment 227611

Wazalendo wa CCM na CHADEMA!

View attachment 227612View attachment 227613
​
Hizo ni strategies za Kuimarisha CHAMA ambazo DR. Slaa alisema sio wewe ndio umekuwa Mbunifu na alisema kabisa Tunabanana na CCM kwa Mbinu zao zote kuanzia Umoja wa Akina Mama, Chipukizi na mabalozi alisema dhahiri mchana kweupe kwa hiyo kufanana sio TIJA. watu hawaichukui CCM kwa sababu ya Muundo wa Wanachama wake bali UONGOZI MBOVU kwenye serikali na sera zao. Hata hivyo kwenye huo Muundo sio kweli wote Unafanana Ukiangalia uchaguzi wa Mwenyekiti Katibu na manaibu katibu wanachaguliwa na sio kuteuliwa kama CCM hayo ni baadhi tu uwe unafikirisha hoja zako kabla ya kupost.
 
Mkuu unaposema kuwa CHADEMA inapendwa na watanzania wengi unatumia vigezo gani?
Na unaposema CCM inachukiwa na watanzania unatumia vigezo gani?
Nakuuliza hivi kwa sababu, Tumeshafanya chaguzi kadhaa hapa Tanzania na hiyo CHADEMA(inayopendwa) ikiwemo lakini CCM imekuwa ikiibuka na ushindi mkubwa kupitia kura za watanzania hao hao unaowasemea wewe kuwa wanaichukia CCM.

Sehemu kubwa ni kura za ccm zinatokana na tume isiyo huru ya uchaguzi na kulitumia jeshi la polisi kutangazwa washindi. Hebu usisababishe tukalazimisha kurudia kuhesabu kura za urais 2010 kwenda chini.
 
Kwani CCM wao waliiga kutoka wapi?

CCM ndio waasisi wa mfumo huo?

Kama wao waliiga,wana uhalali gani wa kuhoji wengine wakiiga?

Only the fool will see you have got a point.
 
Chadema wako juu kwani wamefumua mambo mengi ambayo enzi za chama kimoja hayakuonekana so wako juu japo ni ngumu kukubali ila mwelevu lazima asapoti hiki nachokueleza
 
Nimekuwa nikiwafwatilia Wanachama wa CHADEMA kwa mrefu sana na nilichokigundua ni kwamba wengi wao kama SIYO wote wanaichukia sana CCM lakini wasichokijua ni kwamba chama chao cha CHADEMA kilianzishwa kwa kufwata mfumo CCM (modelled after CCM), yaani ninachomaanisha ni kwamba hakuna Chama cha Upinzani hapa TZ kinachofanana na CCM kama CHADEMA kuanzia mfumo wa Uongozi kama Mwenyekiti mpaka msemaji wa Chama ni kama CCM hata jinsi CHADEMA wanavyofanya chaguzi zao ndani ya Chama ni modell ya CCM, CCM wana UWT na CHADEMA nao wameanzisha BAWACHA, CHADEMA wana mpaka mbadala wa Chipukizi kama CCM!

Na hata ukisoma kitabu cha mmoja wa wanzilishi wa CHADEMA Bw.Mtei (from goatsherder to Governor/kuanzia mchunga mbuzi mpaka kuja kuwa Gavana wa Benki Kuu) anasema ni jinsi gani alivyotaka kuunda Chama ambacho kitakuwa ni mbadala wa CCM yaani chama ambacho ni kama CCM lkn na maboresho madogo madogo hivyo siku nyingine kama wewe ni Mwana CHADEMA na unachukia CCM tambua kwamba chama chako kimekuwa modelled after CCM hivyo CCM haiwezi kuwa mbaya kiasi hicho!

Uchaguzi CCM na CHADEMA!
View attachment 227604View attachment 227603

UWT na BAWACHA
!
View attachment 227605View attachment 227606

Wasemaji wakuu wa Chama CCm na CHADEMA!
View attachment 227608View attachment 227609

Chipukizi wa CCM na CHADEMA!

View attachment 227610View attachment 227611

Wazalendo wa CCM na CHADEMA!

View attachment 227612View attachment 227613
​
Mleta Mada umesahau kitu kimoja kuwa CHADEMA hakina mfumo wa WIZI/UFISADI/NA PIA VIONGOZI WAKE SIO WAZURURAJI KWENDA KUOMBA MISAADA NA HII NCHI INAKILA KITU NA UTAJIRI WA KUTUPWA!! POLE SANA
 
Mleta mada una akili sana.
Ni kada gani wa Chama chako aliyesema CHAMA HAKINA DIRA WALA MUELEKEO na baada ya kusema hayo alikuja kufa kwenye mazingira ya kutatanisha? nimejaribu hata KuGoogle KABURI lake hata halipo! Mna roho katili sana nyie!
 
CCM haiwezi kufanana na SACCOS ya Wachagga. Sema wametuiga mambo mengi sana japo hawajafanikiwa

Ila inaweza kufanana na SACCOS ya MSOGA aka WAKWERE...................
 
Tofauti yao, CHADEMA ina wehu, LISSU, LEMA, SUGU wote wehu.

Ni afadahali hao kuliko WABAKAJI,WAUAJI na MAJAMBAZI walio ndani ya CCM wakijifanya viongozi bora kumbe hakuna kitu...................
 
Ni kada gani wa Chama chako aliyesema CHAMA HAKINA DIRA WALA MUELEKEO na baada ya kusema hayo alikuja kufa kwenye mazingira ya kutatanisha? nimejaribu hata KuGoogle KABURI lake hata halipo! Mna roho katili sana nyie!

Na C.Z.Wangwe alienda wapi?
 
Mleta Mada umesahau kitu kimoja kuwa CHADEMA hakina mfumo wa WIZI/UFISADI/NA PIA VIONGOZI WAKE SIO WAZURURAJI KWENDA KUOMBA MISAADA NA HII NCHI INAKILA KITU NA UTAJIRI WA KUTUPWA!! POLE SANA

Kuna chama cha siasa kinachotembeza bakuli ndani na nje ya nchi kama CHADEMA?
Moja ya wafadhili wakuu wa CHADEMA wa nje ya nchi ni chama cha ujerumani kijulikanacho kama CDU.

Moja ya wafadhili wakuu wa CHADEMA ndani ya nchi na Mzee M.Sabodo na Philemon Ndesamburo.
 
Ni miaka 10 sasa imeisha baba yako akiomba misaada na kutulaghai kua asiposafiri tutakufa njaa unalakujitetea hapo? leo Dola 1 ya kimarekani 1900 - Mungu ailaze roho ya marehemu aliyesema Chama hakina dira wa Muelekeo!
 
Na C.Z.Wangwe alienda wapi?
Chadema hawaombi kura kwakuwadanganya wananchi kwa Wali wa Maharage wewe Gamba!

wali.jpg
 
Back
Top Bottom